Oliver N’Goma: Muziki Burudani na Elimu (Ujumbe)

Oliver N’Goma: Muziki Burudani na Elimu (Ujumbe)

Mkuu asante kwa uchambuzi aisee Oliver N'goma ni moja ya kipaji Cha ajabu kuwahi tokea duniani nitashangaa sana Kama
Wagabon hawajamjengea sanamu la kumbukumbu nguli huyu aisee!
[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]
Hadi wakina bongo wapoteee madarakani

Nasikia Omar na Ali bongo walikuwa wanahisi atawapoka kijiti
 
Hadi wakina bongo wapoteee madarakani

Nasikia Omar na Ali bongo walikuwa wanahisi atawapoka kijiti
Aisee Viongozi wa kiafrika Bora uwaguse makalio watakupotezea ila ukigusa madaraka Yao watakupoteza nusu sekunde tu,
Yaani rais wa kiafrika ni nusu mungumtu Aisee!
Kama yule rais wao Omari Bongo jamaa yupo Hadi kwenye kumbukumbu za Dunia Kama ndio rais aliyekaa madarakani muda mrefu kuliko rais yeyote duniani imagine miaka Kama 40 Hivi alikua rais mbaka akafia madarakani!
Hatari!
 
Na alikuwa mchakataji wa papuchi sana. Ma miss hawa, kuna file lake fulani lilimwagwa na mlimbwende mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni Mgabon..!!Nilijuaga ni M'Congo..Icole na Bane ni tamu sana izi ngoma ni everlast,,Pia kuna Lusa na iyo Aidiah daaah jamaa ni fundi

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Oriver N'goma alikua ni MGabonese alizaliwa katika mji wa pwani unaitwa Mayumba,mtoto wa ticha wakahamia Libreville mji Mkuu wa nchi hiyo ndipo akaanza harakati za mziki baada ya kuhitimu elimu ya juu!
 
Kuna chuma kinaitwa Icole ni noma na nusu.... mpaka nimeweka ringtone

Back
Top Bottom