mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mimi ni kijana wa 30s,lakini nasikiliza sana nyimbo ambazo zimevuma kwenye umri wa ujana wa wazazi wangu.
jamaa wengi walijua kuimba na kuuwasilisha mziki,sijui hawa vijana wenzetu tutaweza kuwakumbuka hivi 25yrs to come!!!maana nyimbo za hapo 2012 tu tushazishau.
monica sekka-chinenku,messuwa
piere williams-ngandepa
oliver ngoma/mtukuzi-ng'e,todi
madilu-ya jean,de amour