TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

Kibeho Rwanda wanaamini pia bikira alitokea akiwa mweusi.

Lurdi Ufaransa alitokea akiwa mweupe.

Gaudeloupe Mexico alitokea akiwa mweupe.

Na kanisa liliidhinisha matukio yote kwamba ni ukweli.

Cha kushangaza waafrika wana amini kwamba bikira Maria wa ukweli, Ni mwenye rangi nyeupe!

Sasa image ipi ni kweli kuhusu sura na mwonekano wa huyo bikira Maria?
 
Kanisa halikurupuki katika kuhakiki na kuthibitisha matukio, Ndiyo maana hata watakatifu huchukua mamia ya miaka kuthibitishwa kama watakatifu. Mfano muujiza wa Lanciano, miujiza ya watakatifu Ritha n.k yote hiyo imethibitishwa kitaalam na wataalam wenye hadhi kubwa duniani. Wewe ni nani ubishe?
 
Hujajibu swali.

Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi image ipi ya bikira Maria ni ya kweli?

Akiwa mweupe au akiwa mweusi?
 
Hujajibu swali.

Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi image ipi ya bikira Maria ni ya kweli?

Akiwa mweupe au akiwa mweusi?
Image iiyokuwa approved na Kanisa Katoliki ya Mwanamke Myahudi ambaye ni mume halali wa Yosefu na mama wa Yesu aliyewatokea watoto wa fatima. Hayo mengine ni story zenu za vijiweni na soga za Ellen G White.
 
Hii ndio zero brain. Af wenyewe wanajiona wasomi
 
Image iiyokuwa approved na Kanisa Katoliki ya Mwanamke Myahudi ambaye ni mume halali wa Yosefu na mama wa Yesu aliyewatokea watoto wa fatima. Hayo mengine ni story zenu za vijiweni na soga za Ellen G White.
Hata wewe hizo ni stori zenu za vijiweni na soga za Emperor Constantine na king James.

Yesu, Maria na Yosefu ni Biblical figures tu, fictional characters.

Hawana tofauti na kina Abunuwasi au Alinacha wa kwenye Hekaya za kusadikika na kutungwa.

Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Bikira Maria hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Ni imani zenu uchwara tu mlizo pumbazwa na kuaminishwa na hizo dini zenu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acheni Hizi Leo Tutalala Na Viatu
 
Ukatoliki ni upagani ndio maana mnaabudu masanamu
 
RC ni Ukristo na Ukristo ni RC.
Hili limepelekea madhehebu yote bandia kutaka kuiangusha RC lkn mwishowe wanaanguka wao.RC ndo waliokusanya maandiko yote ya Biblia kwa maana nyingine wao ndo wamiliki wa Biblia kwakuwa ndo walioamua wewe uletewe nini kwenye maandiko hayo.
Hata kama ninyi ni wjinga jiongezeni kidogo tu,mtajua kuwa bila RC hayo madhehebu yenu bandia yasingekuwepo.
 
Huyu jamaa ni msanii kweli!
Ni amani ipi anayomaanisha,ikiwa taasisi yake ndiyo inayo ratibu na kufadhili machafuko yote ulimwenguni?
Vita,ugaidi,magonjwa ya milipuko, mifumuko ya bei [mf.mafuta,gesi n.k.],na machukizo mengine mengi.yote haya yanaratibiwa na taasisi yake,Anataka kutuaminisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…