Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Mkuu mi ata sitaki. kujiletea balaa mana kimsingi kila kitu nimekikuta na mm mwenyewe kabla sijazaliwa ata sijui nilipokua
Sasa usiseme ni shetani ndio hufanya watu watende mabaya.

Shetani ni excuse iliyotungwa kusingizia matendo mabaya ya mwanadamu.

Ilhali kiuhalisia binadamu yupo responsible kwa matendo yake yote mema au mabaya anayo yafanya.

Hakuna Mungu au Shetani anayehusika na matendo ya wanadamu.
 
Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.

View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.

Mna complocate tu maisha. Wala haina uhusiano. Last supper ilikuwa na 12 wanafunzi. Hii ya Olympic ina watu zaidi ya 16. Huoni kuwa ni vitu viwili tofauti? ACHENI UONGO PLEASE.
 
Hataki maroboti
Kama huyo Mungu hataki maroboti, Kwa nini alalamike watu wakifanya matendo mabaya kwa uhuru wao wenyewe?

Kama alikuwa hataki tuwe kama maroboti, kwa nini aingilie tena uhuru wa watu kufanya mabaya na awatake wafanye mema tu?

Huoni kwamba huyo Mungu kuingilia uhuru wa mtu anayefanya mabaya na kumtaka afanye mema tu,

Ni kutaka kutu command kama Roboti?
 
Uhuru ni wako utende mema au ya hovyo
 
Back
Top Bottom