Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kwa hiyo Shetani alijiumba mwenyewe?
Kuna malaika aliyewahi kujiumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Shetani alijiumba mwenyewe?
Sasa usiseme ni shetani ndio hufanya watu watende mabaya.Mkuu mi ata sitaki. kujiletea balaa mana kimsingi kila kitu nimekikuta na mm mwenyewe kabla sijazaliwa ata sijui nilipokua
Ninyi si mnaamini Mungu ndio muumbaji wa kila kitu?Kuna malaika aliyewahi kujiumba?
Kwa hiyo huyo Mungu hajijui kwamba ni mkweli mpaka awepo shetani?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Naku uliza hivi 👇Malaika wengine wangejuaje kama Mungu anamuonea au hapana!
Huoni leo tunajionea Shetani kashindwa tunahitaji mwongozo wa Mungu
Naku uliza hivi 👇
Ninyi si mnaamini Mungu ndio Muumbaji wa kila kitu?
Habarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Jibu swali kwanza,Hata wewe ni kiumbe wake
Mna complocate tu maisha. Wala haina uhusiano. Last supper ilikuwa na 12 wanafunzi. Hii ya Olympic ina watu zaidi ya 16. Huoni kuwa ni vitu viwili tofauti? ACHENI UONGO PLEASE.
NdiyoJibu swali kwanza,
Ninyi si mnaamini na mnasema Mungu ndio muumbaji wa kila kitu?
Sasa mbona ulisema shetani hakuumbwa?Ndiyo
Huyo Mungu kwa nini aumbe malaika mwenye uwezo wa kuasi kuwa shetani?Shetani hakuumbwa ni malaika aliyeasi
Huyo Mungu kwa nini aumbe malaika mwenye uwezo wa kuasi kuwa shetani?
Huoni kwamba kazi ya uumbaji ya huyo Mungu ina dosari na kasoro kwa kuumba malaika aliyeweza kumuasi?
Kama huyo Mungu hataki maroboti, Kwa nini alalamike watu wakifanya matendo mabaya kwa uhuru wao wenyewe?Hataki maroboti
Kama huyo Mungu hataki maroboti, Kwa nini alalamike watu wakifanya matendo mabaya kwa uhuru wao wenyewe?
Kama alikuwa hataki tuwe kama maroboti, kwa nini aingilie tena uhuru wa watu kufanya mabaya na awatake wafanye mema tu?
Huoni kwamba huyo Mungu kuingilia uhuru wa mtu anayefanya mabaya na kumtaka afanye mema tu,
Ni kutaka kutu command kama Roboti?
Sasa kwa nini uingilie uhuru wa mashoga kufanya ushoga?Uhuru ni wako utende mema au ya hovyo
Sasa kwa nini uingilie uhuru wa mashoga kufanya ushoga?
Malaya wanaojiuza mitaani, barabarani ni sahihi?Vitendo vya kishoga kufanywa hadharani ni sahihi?
Malaya wanaojiuza mitaani, barabarani ni sahihi?
Walevi wanaolewa mitaani ni sahihi?