Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Hii dini imetokea ulaya na ulaya ndo wanao jua ukweli kuhusu mafundisho haya
 
Huo ndio ukristo SS kama mlikua hamjui ushoga na ushetani alaf mnakuja kuleta mapovu kwenye dini zingine akat mmejaa ushenzi na kupelekeshwa na kanisa kama kondoo
 
Hao LGBTQ wenyewe hayo maneno na hizo rangi wamezidandia baada ya kuona maana yake nzuri na wao wakaamua kuitumia ili kujitangaza na ku justify existence yao. Bendera yenye rangi hizo ilinuniwa tangu miaka ya 1929, mwaka 1961 huko Italy ikatumika kama alama ya amani na kuiunganisha dunia huku wakipinga silaha za nuklia na 1994 LGBTQ wakaanza rasmi kutumia ingawa tangu miaka ya 70s walikua wanazitumia tumia na sasa wameanza kuchukua hadi rangi za kufundishia watoto mashuleni.
Kwa kifupi ni kutowaendekeza jamii haipaswi kuzitambua hizo rangi au bendera kama ni za LGBTQ, haipaswi kuacha kuzitumia hizo rangi na alama bali ni kuendelea kuzitumia kila jamii kwa tafsiri yake, watu wanavyokimbia na kuwaachia wao hizo rangi, ndiyo wanafanikiwa maana wanakuwa wame set standard kwa kutengeneza universal definition ya alama na rangi zao na tunakuwa tumekubali kuzitambua alama zao.

Peace Flag




LGBTQ Flag



Walichofanya ni kuichukua kama ilivyo, wakaipindua chini juu na kupunguza rangi moja (blue mpauko).
Mwaka 200 huko nchini ujerumani LGBTQ walianzisha mgigoro na kulililalamikia Kanisa Katoliki kwa kutumia rangi hizo zinazofanana na wanazotumua wao wakidai Kanisa linafifisha jitihada za utambulisho wao.
So hawa dawa yao ni kutowakimbia,
 
Mashindano ya Olympics ya Paris 2023 yamefunguliwa rasmi Kwa maonyesho yakiwemo ya Kufuru Kwa Ukristo hususan Yesu Kristo.

Meza ya bwana ambayo Yesu alishiriki na Mitume wake imewakilishwa hivi;

Yesu; Mwanamke
Mitume; Gays (Mashoga) na Transgenders (waliobadili Jinsia)



Ya Mabuddhist hii hapa

 

Attachments

  • Screenshot_20240728_100204_Parallel Space.jpg
    358.6 KB · Views: 1
Wadanganyika acheni viherehere na mahangaiko, mkipata ugali mkala mkashiba na kuingia chooni basi semeni Alhamdullilah
 
Fanyeni kazi mfanye maisha Mungu/Miungu yenu sio dhaifu mpaka intake sympathy zenu, shortly Kila Mungu/Miungu haihitaji kupiganiwa na binadamu, hayo mambo ya satanism yapo millions Years ago.
 
Una uhakika gani kwamba hiyo picha iliyochorwa na Davinc kuhusu meza ya bwana ndo uhalisia juu ya chakula cha Yesu na mitume wake. Habari za Mbingu hazipo kwenye mtazamo wa michoro na video zinazobuniwa na wanadamu.
 
Wakikufuru wao wewe inakuathiri vipi?
NB: Mimi ni Mkristu Mkatoliki
 
kwahyo unataka kusema hiyo picha ndio ukweli kwamba yesu ni huyo na wanafunzi wake..

wakristo sjui nn shida ila uzezeta wa imani ni kitu mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…