daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Hapo sawaTukio la kudhalilisha Ukristo ni lile la kutumia mapunga kuigiza picha ambayo ina maudhui ya kristo
Japo kuna maaskofu mashoga kwa mfano Bishop Nicholas Chamberlain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaTukio la kudhalilisha Ukristo ni lile la kutumia mapunga kuigiza picha ambayo ina maudhui ya kristo
Hii dini imetokea ulaya na ulaya ndo wanao jua ukweli kuhusu mafundisho hayaHabarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Huo ndio ukristo SS kama mlikua hamjui ushoga na ushetani alaf mnakuja kuleta mapovu kwenye dini zingine akat mmejaa ushenzi na kupelekeshwa na kanisa kama kondooKama wana ubavu basi wajaribu hizi parody kule upande mwingine wakione cha moto wajinga hawa. Ajenda za ushoga kila mahali. Hovyo kabisa!
View attachment 3053706
![]()
Paris Olympics Opening Ceremony Recreates 'Last Supper' with Drag Queens & Trans Performers
Further making the Olympics opening ceremonies the “gayest ever,” Parisian Olympics officials also featured an LGBTQ parody of the "Last Supper" along with a woke fashion show featuring gender-bending fashions and transgender models.www.breitbart.com
Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda kuona ? Nyie kweli kondooSidhani kama ulichoandika umemaanisha.
Mi naona umeamua tu ushushe uzi siku iende.
Tunashukuru.
Kuiga, kufanyiwa ukatili, kupenda vya bureHivi mtu anazaliwa akiwa shoga au ni kuiga?
Yesu alikuwa mzungu?Hii dini imetokea ulaya na ulaya ndo wanao jua ukweli kuhusu mafundisho haya
Huyo Bishop yupo nchi gani?Hapo sawa
Japo kuna maaskofu mashoga kwa mfano Bishop Nicholas Chamberlain
Alikuwa mwafrika?Yesu alikuwa mzungu?
Hapana Hakuwa MuafrikaAlikuwa mwafrika?
Hao LGBTQ wenyewe hayo maneno na hizo rangi wamezidandia baada ya kuona maana yake nzuri na wao wakaamua kuitumia ili kujitangaza na ku justify existence yao. Bendera yenye rangi hizo ilinuniwa tangu miaka ya 1929, mwaka 1961 huko Italy ikatumika kama alama ya amani na kuiunganisha dunia huku wakipinga silaha za nuklia na 1994 LGBTQ wakaanza rasmi kutumia ingawa tangu miaka ya 70s walikua wanazitumia tumia na sasa wameanza kuchukua hadi rangi za kufundishia watoto mashuleni.Marastafari kwao upinde ni ishara ya upendo na amani
Katika biblia upinde : inasema: Mwanzo 9:12-15 “Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano ninalofanya kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, agano la vizazi vyote vijavyo; mawingu, nayo itakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
Na katika baadhi ya imani Upinde wa mvua angani inasemekana Simba anazaa muda huo
South Afrika alama ya upinde wa mvua ni kauli mbiu ya umoja baina ya raia wa Afrika ya Kusini wenye nasaba ya weusi, chotara, wazungu, wahindi, wachina
Hiyo ni mifano michache kati ya lukuki, sasa kikundi au jamii moja kujimilikisha alama ya upinde wa mvua na kutaka wote tuamaini mambo yao ni upungufu wa maarifa.