Siku ingine uangalie kwa makini. Ungeona huyo aliyepanda huyo kiumbe mwenye mabawa kesho ungeenda kulipua Olympic ya Paris.Aisee, sikuona hii...
Hawa jamaa kweli wana uadui mkubwa na watu wa Imani, na naamini wana lengo kuu zaidi ya kufanya mockery tu
Mkuu unadhani lengo la kufanya hayo yote ni nini hasa?Siku ingine uangalie kwa makini. Ungeona huyo aliyepanda huyo kiumbe mwenye mabawa kesho ungeenda kulipua Olympic ya Paris.
Mwandaaji wa yote haya ni Thomas Jolly ambaye ni shoga (ameolewa tayari)
Kudhihaki tu imani za watu na kuwatoa watu katika maadili.Mkuu unadhani lengo la kufanya hayo yote ni nini hasa?
Ok vizuriKuleta dini sio kwamba wao ndyo waanzilishi, nia yao ilikuwa ni kusambaza habari njema za uokovu duniani kote
Kweli kabisa lengo ni kudhihaki, lakini cha ajabu waumini wenyewe ndyo mashabiki wakubwa wa matukio hayoKudhihaki tu imani za watu na kuwatoa watu katika maadili.
Jana watu wameoneshwa live pumbu za waigizaji zipo nje, wakaonesha mashoga, wasagaji na washenzi wengine wakishiriki ufunguzi
Kuna sehemu nimetaja kuabudu mababu?Asili gani mkuu, kuabudu ancestors?? Babu wa kale waliokufa miaka buku iliyopita?? Kwann usirudi mwenyew ukaabudu hao mababu zako
Kweli kabisa ni kawaida yao, hata mashindano yaliyopita walifanya ibada na kuweka lisanamu likubwa ambalo lina umbo au tafsiri ya Malaika mtoa roho...Ni kawaida olympic kujazwa mambo ya ibada za sanamu. Ushetani ni mwingi sana ukishadidiwa kwa alama na ishara za miungu ya kipagani
Ka kuwalinda kwa kuwaweka katika igizo linalo fanana na maudhui yakidini ndyo kumezua maswali mengiJamaa wanawalinda sana mashoga aisee, huko kuwapigania imekua too much pamoja na kua hawabugudhiwi ila bado wanazidi kuwapamba as if hao mapunga wanaface bonge moja la tatizo.
Kwa nini wasifanye? Wakristo hawana ownership ya hiyo image, ilikuwa ikitumika tangu ya kabla ya Ukristo.Tatzo au chukizo ni kwanini trans ndyo wamefanya tukio hilo?
Kila mtu aheshimu imani ya mwenzakeKwa nini wasifanye? Wakristo hawana ownership ya hiyo image, ilikuwa ikitumika tangu ya kabla ya Ukristo.
Hapo ni sawa kusema ma trans wasivae nguo nyeupe kwa sababu Wachungaji wanavaa nguo nyeupe.
Hivi kila mtu mwenye dini yake akikataza watu wasifanye hiki au kike kwa sababu ni alama ya dini yake tutaweza kufanya lolote hapa duniani?
Asili yenyewe ya huo mchezo huko ugiriki ya kale ni km hv , Olympic = OlympusNi kawaida olympic kujazwa mambo ya ibada za sanamu. Ushetani ni mwingi sana ukishadidiwa kwa alama na ishara za miungu ya kipagani
Mungu mwenyewe atawahukumu kwasababu yeye ndiye anayejua wapi ni watakatifu nawapi wabaya.Mambo ya Mungu uku afrika tunajipa tu umuhimu tusio kua nao.Matendo yao ndyo yamenikwaza, kama huamini katika Mungu huwezi kuelewa
Hilo jambo haliwezekani kila wakati, kwa sababu imani kuna sehemu zinapingana.Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake