Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Aisee, sikuona hii...

Hawa jamaa kweli wana uadui mkubwa na watu wa Imani, na naamini wana lengo kuu zaidi ya kufanya mockery tu
Siku ingine uangalie kwa makini. Ungeona huyo aliyepanda huyo kiumbe mwenye mabawa kesho ungeenda kulipua Olympic ya Paris.

Mwandaaji wa yote haya ni Thomas Jolly ambaye ni shoga (ameolewa tayari)
 
Kudhihaki tu imani za watu na kuwatoa watu katika maadili.

Jana watu wameoneshwa live pumbu za waigizaji zipo nje, wakaonesha mashoga, wasagaji na washenzi wengine wakishiriki ufunguzi
Kweli kabisa lengo ni kudhihaki, lakini cha ajabu waumini wenyewe ndyo mashabiki wakubwa wa matukio hayo
 
Ni kawaida olympic kujazwa mambo ya ibada za sanamu. Ushetani ni mwingi sana ukishadidiwa kwa alama na ishara za miungu ya kipagani
 
Kweli kabisa ni kawaida yao, hata mashindano yaliyopita walifanya ibada na kuweka lisanamu likubwa ambalo lina umbo au tafsiri ya Malaika mtoa roho...

Na kumbuka wakati huo ndiyo Corona ilizuka na kuondoka na wengi
 
Jamaa wanawalinda sana mashoga aisee, huko kuwapigania imekua too much pamoja na kua hawabugudhiwi ila bado wanazidi kuwapamba as if hao mapunga wanaface bonge moja la tatizo.
 
Jamaa wanawalinda sana mashoga aisee, huko kuwapigania imekua too much pamoja na kua hawabugudhiwi ila bado wanazidi kuwapamba as if hao mapunga wanaface bonge moja la tatizo.
Ka kuwalinda kwa kuwaweka katika igizo linalo fanana na maudhui yakidini ndyo kumezua maswali mengi
 
Tatzo au chukizo ni kwanini trans ndyo wamefanya tukio hilo?
Kwa nini wasifanye? Wakristo hawana ownership ya hiyo image, ilikuwa ikitumika tangu ya kabla ya Ukristo.

Hapo ni sawa kusema ma trans wasivae nguo nyeupe kwa sababu Wachungaji wanavaa nguo nyeupe.

Hivi kila mtu mwenye dini yake akikataza watu wasifanye hiki au kike kwa sababu ni alama ya dini yake tutaweza kufanya lolote hapa duniani?
 
Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake
 
Uwa siamini kuwa wazungu wametuzidi akili waafrika.unaanza kutetea ushoga alafu ukajiita una akili?
 
Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake
Hilo jambo haliwezekani kila wakati, kwa sababu imani kuna sehemu zinapingana.

Mathalani, mimi imani yangu ni uhuru wa kiusanii. Wasanii wasibughudhiwe wakitumia religious iconography. Ukisema niheshimu religious iconography isitumike kwenye sanaa, umeshaingikia imani yangu na wewe.

Halafu, nishakueleza hiyo picha kama ya Last Super ilitumika miaka na miaka kabka ya Ukristo, Wakristo wamerudia tu kutumia hiyo imagery.

Sasa hapo napo ukitaka habari hizo huoni kwamba hata Wakristo nao hawakuheshimu imani za Wagiriki na Wamisri wa kale?
 
Back
Top Bottom