Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Mungu habagui bara au taifa, Wote tupo sawa mbele ya Mungu sio wazungu au waafrika pekeyaoMungu mwenyewe atawahukumu kwasababu yeye ndiye anayejua wapi ni watakatifu nawapi wabaya.Mambo ya Mungu uku afrika tunajipa tu umuhimu tusio kua nao.
Huyo Mungu mwenyewe ukiambiwa uthibitishe yupo kweli huwezi.Mungu habagui bara au taifa, Wote tupo sawa mbele ya Mungu sio wazungu au waafrika pekeyao
Wengi wanaamini waafrika ndyo wajinga namba moja, lakini ukweli ni kwamba hata hao wazungu wapo ambao ni vilaza na wavivu wa kufikiriUwa siamini kuwa wazungu wametuzidi akili waafrika.unaanza kutetea ushoga alafu ukajiita una akili?
Allahu Akbarrr.....Takbirrrrr....
Kumbe huu mchezo asili yake ni Ugiriki, nilikuwa sifahamuAsili yenyewe ya huo mchezo huko ugiriki ya kale ni km hv , Olympic = Olympus
Ungekuwa unajua historia usingetokwa na povu jingi kiasi hiki, Michezo ya Olympics imekuwepo miaka takribani 700 kabla ya Kristo huko katika Ugiriki ya kale na ilikuwa kwa ajili kumuenzi Mungu wa Wagiriki aitwaye Zeus na mtoto wake Heracles, nyie watu wa dini ndio mnajipendekeza na kulazimisha mambo yenu katika Historia na utamaduni wa Ugiriki ya kale.Inasikitisha sana watu wengi duniani wameshutumu sana sherehe za kufungua michezo ya Olympic za mwaka huu jijini Paris
Ni kama Shetani alishushwa kwenda kutumbuiza
Wasingekuwa na akili wasingekutawala kwa zaid ya karne nzima huku wakiwachukua babu zako utumwani kwa karne nyingi tu.Uwa siamini kuwa wazungu wametuzidi akili waafrika.unaanza kutetea ushoga alafu ukajiita una akili?
Uko sahihi kabisa MkuuUngekuwa unajua historia usingetokwa na povu jingi kiasi hiki, Michezo ya Olympics imekuwepo miaka takribani 700 kabla ya Kristo huko katika Ugiriki ya kale na ilikuwa kwa ajili kumuenzi Mungu wa Wagiriki aitwaye Zeus na mtoto wake Heracles, nyie watu wa dini ndio mnajipendekeza na kulazimisha mambo yenu katika Historia na utamaduni wa Ugiriki ya kale.
Sio waliachana na dini, ila mamlaka ya shetani ndyo imefanya juhudi kusambaratisha dini huko ulaya, na bado juhudi zinaendelea kutimiza lengo hilo duniani koteUlaya walishaachana na Ukristo miaka mingi iliyopita na sasa wanauza Majengo ya Makanisa kwa Waislamu!
Ufaransa siyo siku nyingi litakuwa Taifa la kiislamu!
Najifanya mkristo? Wapi nimesema mimi ni mkristo?Wajukuu wa waliokuletea dini unayoing'ang'ania ndiyo wana-mock hayo maujinga ya babu zao.
Wewe muafrika fuata tamaduni za kwenu.
Acha kujifanya mzungu kuliko wazungu wenyewe.
Unajifanya mkristu kuliko waliokuletea ukristo.
Ndiyo kila siku tunawaambia achaneni na ukoloni mamboleo wa dini.
Kutambika makaburini ni mojawapo ya dini za asili, hata dini kubwa mbili huwa wanafanya ibada za makaburini.Najifanya mkristo? Wapi nimesema mimi ni mkristo?
Pia ni afadhali kuamini katika dini kuliko kutambika makaburini
Ni zipi ibada za kuomba wafu makaburini zinafanywa na watu wa dini?Kutambika makaburini ni mojawapo ya dini za asili, hata dini kubwa mbili huwa wanafanya ibada za makaburini.
Na bado wapo watu wanaamini zile zilikuwa ni burudani tu, hawaoni tatzo lolote kwa maudhui yale
Badala ya kupambana kutokomeza umaskini, uhujumu uchumi, wizi, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma uliokithiri barani kote Afrika,
Mnahangaika na maisha ya wazungu ambayo hayawasaidii na haisaidii kubadilisha chochote kile nchini kwenu.
Ni kawaida yake kutumbuiza katika matamasha ya aina hiyoNi Shetani alikuwa anawaburudisha
Ni zipi ibada za kuomba wafu makaburini zinafanywa na watu wa dini?
Ungekuwa unajua historia usingetokwa na povu jingi kiasi hiki, Michezo ya Olympics imekuwepo miaka takribani 700 kabla ya Kristo huko katika Ugiriki ya kale na ilikuwa kwa ajili kumuenzi Mungu wa Wagiriki aitwaye Zeus na mtoto wake Heracles, nyie watu wa dini ndio mnajipendekeza na kulazimisha mambo yenu katika Historia na utamaduni wa Ugiriki ya kale.
Haya thibitisha huyo shetani yupo?Huu uzi hausiani na umasikini wa bara la Afrika. Tunachangia kulingana na mada husika iliyo kwenye thread.