Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Maudhui ya waandaaji ni hayo uliyoyaona,kuonesha walikotokeaInajulikama hilo hii mchezo ilianzia jiji Athene, Ugiriki na hapo ndipo ilikuwa stadium ya kwanza ya Olympic games
Hakuna mtu yeyote anayejipendekeza kinachozungumziwa na watu ni maadili.
Kumbuka huu ufunguzi umetazamwa na watu zaidi ya 1.2 billion worldwide kutia ndani watoto
Je, huoni kuwa mahudhui yake yanabomoa maadili? Je, waandaaji walikuwa sahihi kufanya yale maonyesho waziwazi kwenye jamii?
Maadili yako mndengereko ni tofauti sana na maadili ya Mfaransa, haujalazimishwa kufungulia channel za TV zinazoonyesha hayo mashindano, angali kina Sultan na Bambo.Inajulikama hilo hii mchezo ilianzia jiji Athene, Ugiriki na hapo ndipo ilikuwa stadium ya kwanza ya Olympic games
Hakuna mtu yeyote anayejipendekeza kinachozungumziwa na watu ni maadili.
Kumbuka huu ufunguzi umetazamwa na watu zaidi ya 1.2 billion worldwide kutia ndani watoto
Je, huoni kuwa mahudhui yake yanabomoa maadili? Je, waandaaji walikuwa sahihi kufanya yale maonyesho waziwazi kwenye jamii?
Haya thibitisha huyo shetani yupo?
Kisha thibitisha hiyo michezo ya olimpiki ni ya kishetani.
Sio unaleta mihemko yenu ya kidini na kuipachika kwenye tamaduni, michezo na burudani za watu.
Maadili yako mndengereko ni tofauti sana na maadili ya Mfaransa, haujalazimishwa kufungulia channel za TV zinazoonyesha hayo mashindano, angali kina Sultan na Bambo.
Maudhui ya waandaaji ni hayo uliyoyaona,kuonesha walikotokea
Mbona kwenye dini wanatambika pia?Najifanya mkristo? Wapi nimesema mimi ni mkristo?
Pia ni afadhali kuamini katika dini kuliko kutambika makaburini
Vitendo vya kishoga havikubaliki.Yaliyofanyika kwenye opening ceremony ni ya Kishetani mfano ni vitendo vya kishoga
Vitendo vya kishoga havikubaliki.
Ushoga ni kitendo cha kibinadamu, kinafanywa na wanadamu sio shetani.
Hakuna shetani anayemfanya mtu awe shoga.
Shetani ni excuse ya kufikirika kukwepa matendo ya kibinadamu.
Kuendelea ni nini dogo? Hazipo kidini kivipi wakati Ukristo upo duniani kote na watu wana imani na yule mwenye haki?1. Hiyo picha ya last supper si imechorwa na mtu? Ni mchoro huo acha wenge.
2. Nchi zilizoendelea hazipo kidini sana, hiyo sanamu ya fahali ni alama, fahali anawakilisha nguvu na ustahimilivu
Humu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.Shetani yuko tangu enzi za Adamu na Hawa pale bustanini
Wewe unatetea ushoga ni mtu wa hovyo sana
Shetani hamfanyi mtu awe shoga ila amefanya ushoga uonekane kuwa jambo la kawaida kwa watu kama nyinyi
Usihamishe mjadalaKupitia huu uzi nimegundua JF kuna machoko wengi sana.
Kweli mtu anatetea vitendo vya kishoga?
Wanatambika na kuchinja mbuzi na kumwaga pombe makaburini?Mbona kwenye dini wanatambika pia?
Kismingi huu ni mtandao wa kifreemanson. Kama huna utulivu wa kimwili na huna Roho wa Mungu, utapotoshwa sana humu JF. Mashoga ni wengi sana humu na moderators wanaruhusu nyuzi na comments za ushoga kwani ndio agenda yao.Kupitia huu uzi nimegundua JF kuna mabwabwa wengi sana
Hao mbona wapo wengi MkuuKupitia huu uzi nimegundua JF kuna machoko wengi sana.
Kweli mtu anatetea vitendo vya kishoga?
Ushoga ni roho kamili, ni ushetani. Aache mbwembwe anayekutisha kwa hoja za kitoto.
Acha upumbavu, hakuna mtu anayekulazimisha au mwenye uwezo wa kukulazimisha usiamini uwepo wa Mungu katika nchi hii, kuamini au kutoamini ni hiyari yako.Humu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.
hyo bado haitoshi kuwa FANYA kuwa na akili.ulishawahi kujiuliza kwanini wanang'ang'ania kufanyana wenyewe kwa wenyewe?Wasingekuwa na akili wasingekutawala kwa zaid ya karne nzima huku wakiwachukua babu zako utumwani kwa karne nyingi tu.
Hao mbona wapo wengi Mkuu