Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Maudhui ya waandaaji ni hayo uliyoyaona,kuonesha walikotokeaInajulikama hilo hii mchezo ilianzia jiji Athene, Ugiriki na hapo ndipo ilikuwa stadium ya kwanza ya Olympic games
Hakuna mtu yeyote anayejipendekeza kinachozungumziwa na watu ni maadili.
Kumbuka huu ufunguzi umetazamwa na watu zaidi ya 1.2 billion worldwide kutia ndani watoto
Je, huoni kuwa mahudhui yake yanabomoa maadili? Je, waandaaji walikuwa sahihi kufanya yale maonyesho waziwazi kwenye jamii?