Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Inajulikama hilo hii mchezo ilianzia jiji Athene, Ugiriki na hapo ndipo ilikuwa stadium ya kwanza ya Olympic games

Hakuna mtu yeyote anayejipendekeza kinachozungumziwa na watu ni maadili.

Kumbuka huu ufunguzi umetazamwa na watu zaidi ya 1.2 billion worldwide kutia ndani watoto

Je, huoni kuwa mahudhui yake yanabomoa maadili? Je, waandaaji walikuwa sahihi kufanya yale maonyesho waziwazi kwenye jamii?
Maudhui ya waandaaji ni hayo uliyoyaona,kuonesha walikotokea
 
Maadili yako mndengereko ni tofauti sana na maadili ya Mfaransa, haujalazimishwa kufungulia channel za TV zinazoonyesha hayo mashindano, angali kina Sultan na Bambo.
 
Maadili yako mndengereko ni tofauti sana na maadili ya Mfaransa, haujalazimishwa kufungulia channel za TV zinazoonyesha hayo mashindano, angali kina Sultan na Bambo.
Unaongea pumba sana.

Wafaransa wenyewe wenye maadili wameshangazwa na yaliyofanyika kwenye uzinduzi.

Unafikiri kila mtu anatetea ushoga kama wewe
 
Maudhui ya waandaaji ni hayo uliyoyaona,kuonesha walikotokea
Unafikiri ni sawa kuyaonyesha mambo hayo kwa public?

Uchoko na usenge kama huu unatakiwa kukemewa

20240727_141912.jpg
20240727_150551.jpg
 
Yaliyofanyika kwenye opening ceremony ni ya Kishetani mfano ni vitendo vya kishoga
Vitendo vya kishoga havikubaliki.

Ushoga ni kitendo cha kibinadamu, kinafanywa na wanadamu sio shetani.

Hakuna shetani anayemfanya mtu awe shoga.

Shetani ni excuse ya kufikirika kukwepa matendo ya kibinadamu.
 
Shetani yuko tangu enzi za Adamu na Hawa pale bustanini

Wewe unatetea ushoga ni mtu wa hovyo sana

Shetani hamfanyi mtu awe shoga ila amefanya ushoga uonekane kuwa jambo la kawaida kwa watu kama nyinyi
 
1. Hiyo picha ya last supper si imechorwa na mtu? Ni mchoro huo acha wenge.

2. Nchi zilizoendelea hazipo kidini sana, hiyo sanamu ya fahali ni alama, fahali anawakilisha nguvu na ustahimilivu
Kuendelea ni nini dogo? Hazipo kidini kivipi wakati Ukristo upo duniani kote na watu wana imani na yule mwenye haki?

Ukiingia JF na kukuutana na comments zenu unaweza jua dini ndio chanzo cha umaskini wenu kumbe ni akili zenu. Leo mnashindia kubet, uzinzi na zinaa alafu ukiwa maskini unalaumu dini? Hamfanyi kazi yoyote na huku mnauza rasilimali zenu mnasingizia dini?

Hakuna dini inayokataza watu kufanya kazi na kuwa matajiri.
 
Shetani yuko tangu enzi za Adamu na Hawa pale bustanini

Wewe unatetea ushoga ni mtu wa hovyo sana

Shetani hamfanyi mtu awe shoga ila amefanya ushoga uonekane kuwa jambo la kawaida kwa watu kama nyinyi
Humu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.

Hakuna mwanaume chini ya Jua akiwa na akili timamu ataruhusu kupigwa pumbu au kumpiga pumbu mwanaume mwenzake.

Ushoga ni roho kamili, ni ushetani. Aache mbwembwe anayekutisha kwa hoja za kitoto.
 
Kupitia huu uzi nimegundua JF kuna mabwabwa wengi sana

Kismingi huu ni mtandao wa kifreemanson. Kama huna utulivu wa kimwili na huna Roho wa Mungu, utapotoshwa sana humu JF. Mashoga ni wengi sana humu na moderators wanaruhusu nyuzi na comments za ushoga kwani ndio agenda yao.

We huoni mabeberu kila siku yanashinda ofisi za JF na kumpongeza Mello. Hakuna beberu atakayefanya yote bila.kuwa na agenda anayoipush nyuma yake.
 
Humu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.
Acha upumbavu, hakuna mtu anayekulazimisha au mwenye uwezo wa kukulazimisha usiamini uwepo wa Mungu katika nchi hii, kuamini au kutoamini ni hiyari yako.
 
Wasingekuwa na akili wasingekutawala kwa zaid ya karne nzima huku wakiwachukua babu zako utumwani kwa karne nyingi tu.
hyo bado haitoshi kuwa FANYA kuwa na akili.ulishawahi kujiuliza kwanini wanang'ang'ania kufanyana wenyewe kwa wenyewe?
 
Back
Top Bottom