Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.

View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Wanamiliki tuzo vituo vya radio na tv wanamiliki wanasiasa na wapo kila sekta kiufupi mitandao ya kijamii ndio imewafumbua macho watu ila wapo mda sana.
 
Sasa kama huyo Mungu wako amekasirika na kilichotokea si atayamaliza mwenyewe ? Kwani anahitaji msaada wetu kumsaidia ? Huu muda tuutumie kuwakemea wanaodhalilisha kodi zetu...

Technically dini ni Imani na hao wanaweza kusema kwa upande wao hicho walichoweka ndio uhalisia na mengine yote ni porojo....
 
Sahihi
 
MUNGU NI MWINGI WA REHEMA SIO MWEPESI WA HASIRA
 
Hayo mapicha aliyachora Leonardo Da vince ambayo mtaani wanasema alikuwa shoga.Kanisa lioiyaiba na kuyatumia.Hayana uhusiano na Mungu
Uko sahihi kuhusu picha, mimi nazungumzia kwa ujumla matukio ya aina hii hutumika kumkejeli Mungu. Ni sawa na mtu aandae sherehe za ushoga halafu akaziita Christmas. Sasa neno Christmas na chimbuko lake si la ukristo lakini maudhui yake leo yanautambulisha ukristo na kiongozi wake.
 
Nani aliyekwambia UKRISTO unatambulishwa kwa picha??

Niambie ni wapi imeandikwa katika Biblia kuwa picha fulani itakuwa ni utambulisho wa WAKRISTO??

UKRISTO wa KWELI hautambulishwi wala hauwakilishwi kwa picha wala sanamu ya mtu au kitu chochote.

Hakuna picha halisi ya YESU KRISTO duniani. Wala hakuna picha halisi za MITUME wa YESU KRISTO. Picha unazoziona ni kazi ya kubuni tu na hazina uhalisia wowote.

Sisi WAKRISTO wenye akili zetu hatuhangaiki na picha wala sanamu sababu tunaujua UKWELI.

Ninyi wakristo fake mnasumbuka na mapicha ya kubuni na masanamu ya kufikirika yasiyokuwa na uhalisia sababu mmedanganywa na mmekubali kudanganyika. KWELI haimo ndani yenu sababu akili zenu zimejaa MADANGANYO ya ulimwengu huu.

Mbaya zaidi hamtaki kuijua KWELI hata mkiambiwa.
 
Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.

View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Hiyo ya kuabudu ng'ombe si inawahusu Wahindu au?
 
tafadhali jipe muda kusoma au kujifunza historia ya hihi michezo na mashindano ya olimpiki kwa ujumla. nadhani hutokuja na malalamiko haya wala hutofikiria haya katika michezo
 
Kuna mtu amekulazimisha au alikulazimisha usiamini uwepo wa huyo Mungu?

Ushoga ni Tabia chafu za mtu binafsi kama ilivyo ulevi, wizi n.k

Hakuna uhusiano wa ushoga na Shetani.

Huyo shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Muache kutumia dhana shetani kama excuse ya tabia za kibinadamu.

Binadamu ana tabia njema na chafu.

Na hakuna kiumbe yeyote anayefanya binadamu awe mchafu au msafi.

Ni binadamu mwenyewe na maamuzi yake binafsi.
Wacha weeeeeeeeeeee. Liwakala na Lichawi hilo linatudanganya tusiamini uwepo wa Mungu hilo. Mi hunipotoshi ng'oooooo. Si wewe hata Baba yenu Shetani mwenyewe hanipotoshi kuhusu uwepo wa Mungu.

Nimeshihudia kwa macho Yangu Yesu akitenda mambo ya ajabu kwenye maisha yangu. Macho yangu yameshuhudia mengi kwa umri wangu wa 50's Huniwezi na hutaniweza.
 
Back
Top Bottom