Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Mkuu shetani yupo kazini na anawakusanya watu balaa na kuwapiga upofu kiasi hawaoni hawasikiiUpinde hawajali kabisa. Wanasema sisi tunaokemea tunajipendekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu shetani yupo kazini na anawakusanya watu balaa na kuwapiga upofu kiasi hawaoni hawasikiiUpinde hawajali kabisa. Wanasema sisi tunaokemea tunajipendekeza
Ndio na kila kitu kipo planned hata nyuzi za kusema wanapinga ila nyingi zinatumika kupromote hiko kitu.Sasa naelewa kwamba watetezi wa hayo mambo nao ni wahusika pia
CrapHabarini waumini..
Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.
Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).
View attachment 3053686
View attachment 3053713
Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.
View attachment 3053699
Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.
Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Mnahangaika sana kuwaongelea hao Mungu na shetani kwa vile hawajawahi kuwepo na hawapo kujiongelea mwenyewe.Ndio na kila kitu kipo planned hata nyuzi za kusema wanapinga ila nyingi zinatumika kupromote hiko kitu.
Wanatudanganya humu eti hakuna Mungu wala shetani ni dhana fikirika. Wapuuzi hawa, watapotosha wajinga.
Mungu ni kweli na hakika. Shetani ni kweli, ulimwengu usioonekana kwa macho ni kweli, halisi na hakika.
Katika mpango ambao shetani anawapata wajinga wengi ni kutumia mawakala wake wapuuzi kama hawa akina Infropreneur kudanganya kuwa yeye ni nadharia na hakuna hukumu ya mwisho, hakuna kuzimu wala jehanamu. Eti Yesu ni nadharia na hakuwahi kuwepo. Hahaaaaa, hamtupati ng'oooooo
Mimi hata huyo shetani siamini uwepo wake.Wacha weeeeeeeeeeee. Liwakala na Lichawi hilo linatudanganya tusiamini uwepo wa Mungu hilo. Mi hunipotoshi ng'oooooo. Si wewe hata Baba yenu Shetani mwenyewe hanipotoshi kuhusu uwepo wa Mungu.
Hukatazwi kuamini katika imani yako,Nimeshihudia kwa macho Yangu Yesu akitenda mambo ya ajabu kwenye maisha yangu. Macho yangu yameshuhudia mengi kwa umri wangu wa 50's Huniwezi na hutaniweza.
Mlevi anapokunywa pombe au mwizi anapoiba ni shetani pia yupo kazini?Mkuu shetani yupo kazini na anawakusanya watu balaa na kuwapiga upofu kiasi hawaoni hawasikii
Thibitisha uwepo wa huyo shetani.Wewe umesema haumini Shetani yupo.
Sisi tunaoamini Shetani yupo tunajua jinsi alivyo na ushawishi kwenye tabia za watu
Hayo ni matendo msukumo wake ni kutoka kwa bwana mkubwa shetani we umeona zile picha unataka kuniambia kwamba ni za kawaida kweliMlevi anapokunywa pombe au mwizi anapoiba ni shetani pia yupo kazini?
Au ni maamuzi ya mtu binafsi kufanya hivyo?
Thibitisha uwepo wa huyo shetani.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Nithibitishie kwamba shetani yupo au mwambie huyo shetani ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani kabla ya kuhusisha matendo hayo na shetani.Hayo ni matendo msukumo wake ni kutoka kwa bwana mkubwa shetani we umeona zile picha unataka kuniambia kwamba ni za kawaida kweli
Nchi yako hata ina timu ya Olympics huko Paris?
Tukirudi kwenye vitabu hivyo hivyo vya kidini, Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda mabaya?Kama haumini kwenye vitabu vitakatifu nitakuwa ni sawa na kupak rangi upepo
Duh mkuu ko hapo sasa nisemeje mana kwanza naona unaleta hoja za kutokuwepo kwa MunguKwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani kabla ya kuhusisha matendo hayo na shetani.
Kwa nini uhusishe kitu cha kufikirika useme kwamba ndicho kina kusukuma kufanya matendo yako ilhali ni maamuzi binafsi ya mtu?
Hakuna shetani yeyote yule anayefanya watu wafanye mabaya.
Matendo yote mema au mabaya hutokana na tabia za mtu na jinsi alivyo lelewa.
Hakuna Mungu anayefanya binadamu atende mema, Pia hakuna Shetani anayefanya binadamu atende mabaya.
Binadamu yuko responsible kwa matendo yake yote anayo yafanya, mema au mabaya na hasukumwi na nguvu yeyote ile.
Ukileta habari za uwepo wa shetani kwamba ndio anafanya watu watende mabaya, Hapohapo na habari za Mungu zinaingia.Duh mkuu ko hapo sasa nisemeje mana kwanza naona unaleta hoja za kutokuwepo kwa Mungu
Tukirudi kwenye vitabu hivyo hivyo vya kidini, Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda mabaya?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na huyo Shetani?
Kwa nini huyo Mungu alimuacha Shetani aje afanye uovu wake duniani?
Kwa nini huyo Mungu hakumzuia na kumdhibiti huyo shetani mapema asije duniani kuleta maovu yake?
Mkuu mi ata sitaki. kujiletea balaa mana kimsingi kila kitu nimekikuta na mm mwenyewe kabla sijazaliwa ata sijui nilipokuaUkileta habari za uwepo wa shetani kwamba ndio anafanya watu watende mabaya, Hapohapo na habari za Mungu zinaingia.
Maana pia mnadai Mungu huyo ndio hufanya watu watende mema na huyo Shetani hufanya watu watende mabaya.
Ilhali kiuhalisia sio kweli.
Mungu na shetani hawapo. Hakuna Mungu au shetani anayefanya watu watende matendo yao.
Binadamu yupo responsible kwa matendo yake yote mema au mabaya anayo yafanya.
Shetani alitoa wapi uwezo wa kuwadanganya Adamu na Hawa?Mungu alimuumba Adamu na Hawa wakiwa wema na perfect. Tatizo lilianza waliposhirikiana na Shetani kumuasi Mungu wakawa imperfect
Kwa hiyo Shetani alijiumba mwenyewe?
Shetani hakuumbwa ni malaika aliyeasi
Kwa hiyo huyo Mungu hajijui kwamba ni mkweli mpaka awepo shetani?
Ili tujionee nani msema kweli Mungu au Shetani
Shetani alitoa wapi uwezo wa kuwadanganya Adamu na Hawa?