Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Sio hivyo tu hata kusikia pia sisikii Mkuu.Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda kuona ? Nyie kweli kondoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hivyo tu hata kusikia pia sisikii Mkuu.Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda kuona ? Nyie kweli kondoo
You know what I'm talking about, missionaries were a part of the african colonial conquest, the first phase.I didn't mention colonialism anywhere! Did I?
We all studied history that missionaries came before colonialists.
Umezungumzia tuachane na hizi dini turudi kweny asili yetu? Ulimaanisha nn?Kuna sehemu nimetaja kuabudu mababu?
Au unapachika maneno yako yasiyo na mantiki!
Ukisikia neno asili una elewa nini?Umezungumzia tuachane na hizi dini turudi kweny asili yetu? Ulimaanisha nn?
Asili yetu waafrika ilikuwa ni nn?
Kitu gani nimeongea zaidi ya kusema turudi kwenye asili zetu.Hv kwann mnaongea vitu ambavyo hata nyie wewe mwenyew huvijui? Alaf ukiulizwa unaanza kujitetea kijanjajanja, that's very childish.
Nonetheless, do you think Ethiopians invented their own christianity?You know what I'm talking about, missionaries were a part of the african colonial conquest, the first phase.
Even though it doesn't diminish the fact that Christianity was present in africa before missionaries, and that was my point.
So don't lie to people that white people are the ones who bought Christianity to africa, that's a big lie.
View attachment 3055389
View attachment 3055390
View attachment 3055392
THE ETHIOPIAN BIBLE IS 800 YEARS OLDER THAN THE KING JAMES VERSION(KJV)
Do you have a Christian background or a Muslim background? Before I continue answering I've to know this firstNonetheless, do you think Ethiopians invented their own christianity?
Still the whites brought Christianity no matter when, if you catch my drift.
Asking qns rather than answering?Ukisikia neno asili una elewa nini?
I am Hindu, what do you've to say?Do you have a Christian background or a Muslim background? Before I continue answering I've to know this first
AaahaaaaDini imewahi kukuletea ugali mezani?
KAZI ni kipimo cha UTU
Kuna namna nyingi ya kujibu swali na mojawapo ni kuuliza tena swali.Asking qns rather than answering?
You are just throwing tantrums you don't even understand the meaning of "Asili"Like I said "Childish",
Tatizo lenu mmeshakariri kwamba Asili ya mwafrika ni kuabudu mababu makaburini.alaf mkitoka hapa mnaenda kujisifia "jamaa nimemuweza hana point ya kujitetea"
Well then, you can't possibly comprehend what I'm about say so I think we're done hereI am Hindu, what do you've to say?
Inasikitisha sana watu wengi duniani wameshutumu sana sherehe za kufungua michezo ya Olympic za mwaka huu jijini Paris
Ni kama Shetani alishushwa kwenda kutumbuiza
Wanajaribu kutufanya tuone ni kitu cha kawaida
Sawa, ila kama unataka kuona zaidi ni vyema ukajifunza Language of Symbolism, hiyo ndyo lugha yao
Unaweza usiwe shoga ukawa mwizi, mzinzi au msengenyaji kama hivi. Lakini mbele ya uso wa Mungu hao wote ni watoto wake, anawapa neema ya kitubio ili warudi kwake. Ni ajabu kushikia bango ushoga huku unaishi na wanawake bila ndoa, unamwibia boss, unashindia uongo nk
Ingekuwa dhambi ndio kigezo cha kuwatenga watu, Yesu asingekuwa karibu na Mathayo Lawi, Maria Magdalena au yule mwanamke aliyeletwa mbele yake kwa kukamatwa katika uzinzi
Lakini ujumbe umefika, japo ni kweli wengi hawafamu maana ya symbols and signsWatu wana akili ndogo Hawezi kuelewa ulichosema
We are not done.Well then, you can't possibly comprehend what I'm about say so I think we're done here