Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango cha juu ya mno.....Nimeimaliza hapa..Omah Lay kapika muziki wa viwango vya juu sana..
Good music..
Soso,how to lu na bend you are my favourites.
Msaga sumu ndiyo nani ?Msaga sumu kaachia album yake ajabu hakuna wachambuzi.
Fireboy katoa kitu bwana.... Nasikiliza hiki kitu inaitwa Glory hapa!Nachelea kusema ya kuwa mkuu una sikio na jicho la muziki.jamaa katoa album kalii.
Mwakaa huu nasikiliza album kali hizi.
Chris Brown - Breezy
Maren morris - Humble Quest (country)
Omah Lay- Boy Alone.
Nb namsubiri baba yao FIREBOY DML 📢📢📢
Fireboy katoa kitu bwana.... Nasikiliza hiki kitu inaitwa Glory hapa!
Daaah, pole sana bro....!Mkuu mimi nimekosa mb dah nafsi inaniuma sana
Nichangie mb mzee niipakueDaaah, pole sana bro....!
Aiseee, nimecheka sanaa!Nichangie mb mzee niipakue
Ashawo ni balaa sana braza.....Ashawo ya fireboy ni hatari MALCOM LUMUMBA
Mkuu kaimba na flow fulani hivAshawo ni balaa sana braza.....
Ndiyo ilikuwa ya kwanza kuisikiliza.....
Naona umefukua kaburi mzee....kuna nyingine inaitwa reason nayo
mkuu una sikio la mziki mzurii wakti unanzisha huu Uzi mwaka Jana wewe ndio ulifanya nkaiskilze album nzima na nliona n nzuri na Leo tupo hapa Tena kuthibitsha hloNaona umefukua kaburi mzee....
Mazee niliusahau kabisa huu uzi....kumbe you dig afrobeats mzee
tusubiri album ya burna tar 25😂