Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Mkuu acha uongo,
 
Vipi kuhusu mdudu kupelekwa Oman mkuu [emoji23]
 
Yaani huu mfumo wa mtu mmoja eti kuchaguliwa na kusema hatima ya watu wote sio sawa kabisa.
Ingekuwa namna fulani ivi watu inabidi wakubaliane na Kila linalofanyika mtu mmoja Ni rhaisi Sana kuwa manipulated akakubali matakwa ya wanaomtaka afanye kitu fulani
 
Na wewe ni sehemu ya wale walioaminishwa kwamba waarabu wanatuibia?. Pole sana mkuu.
 
Sio mbaya tatizo letu udhibiti hatuna,ndio maana unaona malalamiko maana yalishatokea huko nyuma,wanyama wanasafirishwa ambao hawapo hata hawaruhusiwi,hilo la kufuga sawa maana hata sisi tuna shida ya kula nyama ya porini,zilianzishwa bucha za nyama pori kila ukienda unaambiwa nyama hakuna,jamaa wanasema masharti magumu,lakini utashangaa huko uarabuni wanyama wataenda kirahisi mno
 
Vipi kuhusu mdudu kupelekwa Oman mkuu [emoji23]
Inawezekana pia coz wapo foreigners huko,pia huko kuna Temple za wahindus na wana abudu kwa uhuru kabisa,kuna Makanisa watu wana abudu kwa uhuru tu,

Mambo ni tofauti kabisa na jinsi watu wanavyo jazana ujinga mitandaoni.
 
Hii ni mentality ambayo tunatakiwa kuondokana nayo. Tumekua watu wa kuamini kwamba kila kitu ambacho serikali itataka kufanya na nchi kubwa basi tunauzwa! Tuacheni huu ujinga
 

Labda tukichanganya damu tutabadilika
Tatizo ni roho mbaya na umasikini wa akili Ndio maana tutakuwa hivi miaka na miaka

Nenda Kigali tu kuna Ethiopian restaurants, Nigerian foods, kuna Chinese food mpaka Italian restaurants
Sasa sisi wa Ethiopia tunakamata tunawaibia na kuwafunga kama majizi
Ubaguzi na ubaya tu
Fursa hatujui akija mtu kufungua kiwanda atafanyiwa visa mpaka akimbie

Najua watatu walikuja kuwekeza kwa mida tofauti ila biti walilopewa kuanzia ardhi mpaka benki na uhamiaji na mapato wote wanataka
Na wote waliondoka na kufungua viwanda UG na Zambia
 
Kama Somalia na Australia wanapeleka Ng'ombe na Mbuzi wa kutosha huko Oman, Oman anatafuta nini tena kutoka Tanzania?

Hivi unadhani Oman wana uhaba wa Mbuzi au Ng'ombe mpaka waje kuwasaka Tanzania?

Hivi Oman wanaposema wanataka kununua wanyama hai kutoka Tanzania unadhani wanataka Ng'ombe na Mbuzi? Ili wakawafuge au kuwachinja?


Jiongeze ndugu.
 
Kuna watu wanajiandikia tu humu ili mradi na yeye awe yumo!

Watu wanapewa fursa wanaanza matusi na kashfa! Sijui mara Twiga wetu,mara Tembo wetu! Na hizi fikra zimekuwepo miaka na miaka! Bila kubadili hizi mentality tutaendelea kulalamika maisha magumu milele na milele.
 
Umeandika maswali ya kitoto sana wala haina haja ya kukujibu,naona kama vile umesha jikoki kubishana tu! Endelea kuamini unachokiamini.
 
Ulitaka awasaidie usafirishwe wewe?
Tuhamasishe viwanda vijengwe hapa, ng'ombe achnjwe pale vingunguti, ngozi ipelekwe kwenye kiwanda cha Rostam pale morogoro. Ajira zitapatikana hapa, serikali itapata kodi nk.

Wanyama wakienda wazima, kuna kipato tutakikosa, serikali inatakiwa ishauriwe kwa hekima waelewe. Sasa nyinyi vijana wa kulipwa pesa kdg na kumsifia mama siku nzima upo online kwenye mada za kumtetea mama, huna unalojua zaidi ya matusi.

Vijana kama wewe ni bora sperms zingepotelea chooni, kwani mpo duniani kua "ass kissers" eti leo unamtukana hadi Mwalimu Nyerere... Dahhh.
 
Hakuna fursa kwenye kuuza wanyama hai, acha kujizima data
Fursa ni kuanzisha viwanda vya nyama na kuuza nyama
 
Hawa watu watuache na ujinga wao sasa ,yani wanaangaika kujenga viwanda vya kuchakata nyama yeye anataka aanze kuunza wanyama hai .sasa kunatofauti gani na kusafilisha mchanga wa zahabu.
Hawa wanalenga kusafirisha wanyama poli sio hawa wakufungwa tena kwa wingi sana wanatafuta kauchocholo kakuuba ....Mungu atalipia tu..
 
Hakuna fursa kwenye kuuza wanyama hai, acha kujizima data
Fursa ni kuanzisha viwanda vya nyama na kuuza nyama
Hapo unaweza kukuta upo hapo kwa Shemeji yako juu ya sofa na remote ya tv huku ukisubiri ugali wa shikamoo,wenye kutambua fursa wata changamkia,wewe endelea tu kubadili channel hapo kwa Dada.
 
Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Wanyama hai wanapeleka dhana ya TWIGA, SIJUI SIMBA aiseeee.

Jmn Watz wanyama hai inamaanisha MBUZI, KONDOO, NG'OMBE, KUKU nk.

Mbona huwa tunawaza negativity all the way.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…