Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Sasa tumechukua mkopo tunajenga vyoo.
 
Kesho saa 12 asubuhi nifuatilie vibali vyangu pale TAWA biashara ya kupeleka twiga gulf inalipa sana
 

Hatimaye Sasa Ni Rasmi!! TAWA Walisema,Chana Akajikwaa Ulimi

 
Kesho saa 12 asubuhi nifuatilie vibali vyangu pale TAWA biashara ya kupeleka twiga gulf inalipa sana

Karibu Sana Sana Kigolwira Morogoro, Barabara Ya Dar Es Salaam​

Upate Kibali Chap Chap
 
"Mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

Mwanamke ni msaidizi wa mwanamme, kinyume chake ndiyo hayo tunayoyashuhudia Rais mwanamke kuyumbishwa kimawazo kwa kisingizio cha "demokrasia ya uchumi"
 

Attachments

  • VID-20220613-WA0006.mp4
    16.4 MB
Nyerere aliwajaza fikra potofu za Ujamaa. Wawekezaji mnawaita mabeberu na kuwaogopa. Ndiyo maana baada ya miaka 60 ya uhuru uchumi uko hovyo.

Huu ndio msumari wa mwisho na ukweli mchungu
Kweli Nyerere aliwapumbaza watu na mpaka leo wanamuona shujaa wao
Alikataa chuo kikuu kijengwe wakati yeye kusoma Uingereza daa
Na bado wakaamini uongozi wake

Leo miaka 60 bado tunaomba omba
 
Sijui kuna changamoto gani wanyama na maji chumvi wengi ufa mfano ng'ombe waendao Comoro.
Hao waarabu waje tu bongo wachinje wenyewe waweke kwenye friji contena ndio itafika salama
 
Hata wewe ni mtoto!! Hicho kipindi kigumu tulichokutana nacho Tanzania si matokeo ya siasa ya ujamaa na kujitegemea ila ni matokeo ya hali ngumu baada ya vita ya Kagera. Kabla ya vita ya kagera uchumi wa Tanzania ulikuwa juu sana. Mwaka 1961 USD 1 = Tsh7.14, mwaka 1970 USD 1= 7.14, mwaka 1975 USD 1= Tsh7.37, mwaka 1978 (mwaka ambao vita vya kagera vilianza) USD 1 = Tsh7.71, mwaka 1980 (mwaka ambao vita vya kagera viliisha) USD 1 = Tsh 8.2, mwaka 1985 (mwaka ambao Nyerere aliachia uongozi), USD 1 = Tsh17.47, mwaka 1990 (mwaka wa tano wa Mwinyi) USD 1 = Tsh 195.6, mwaka 1995 (Mwaka wa mwisho wa Mwinyi) USD 1 = Tsh 574, mwaka 2000 (mwaka wa tano wa Mkapa) USD 1 = Tsh 800.41, mwaka 2005 (mwaka wa mwisho wa Mkapa) USD 1 = Tsh 1128.95, mwaka 2010 (mwaka wa tano wa Kikwete) USD 1 = 1395.63), mwaka 2015 (mwaka wa mwisho wa Kikwete) USD 1 = Tsh 1991.39, mwaka 2000 (mwaka wa tano wa Magufuli) USD 1 = Tsh 2294. Wakati wa Nyerere tulikuwa na viwanda vingi sana!! Vingi vilikufa kipindi cha Mwinyi na Mkapa akaja kuvimalizia kwa kuviuza (kubinafisisha) na yeye mwenyewe akajiuzia kiwanda cha chuma cha Mchuchuma!!
Kwa taarifa yako hadi mwaka 1978 shilingi nya Tanzania ndiyo ilikuwa na nguvu kuliko zote hapa afrika ya mashariki!! Watoto inabidi mtoe heshima tu kwa Nyerere!
 

Hivi wewe hujui exchange rate inawekwa na BOT? Na inaweza kupikwa kisiasa? Hivyo viwanda vingi unavyoviongelea ni vile Nyerere alipora akasema anataifisha baada ya Azimio la Arusha? Mwishowe vyote vikawa vinaendeshwa kwa hasara. Hizo propaganda za Ujamaa wenu kawadanganye wajinga.
 
Hapo kwenye kitimoto kupelekwa Oman nimeshangaa sana, ni kitimoto hii hii nguruwe au kuna mnyama mwingine anatumia jina la kitimoto kama sio nguruwe
 
Una habari deni la taifa limefika wapi au nyie ndo sukumaganG mnaropoka tu. Kanywe uji ulale!
 
Tatizo mtu yule amewaingiza watu ujinga mwingi sana. Kila move ya mama wanafikiri mama nnauza nchi. Mwachie mama anajielewa.
 
Kiumbe dhaifu? Kuweni na lugha za staha? Kwani failure inahusiana nini na Jinsia?! Hao Marais wanaume wa Tanzania mfano Mwinyi alifanya nini la maana? Miaka 60 Bado maskini wa kutupwa ilihali tumeongozwa na wanaume then Leo hii fialure ya Rais wa awamu ya 6 eti kisa mwanamke??

Reasoning zetu Zina shida gani? Alafu wanyama kuuzwa issue huwa kuuzwa au kutoroshwa? Kinachopingwa ni ujangili ila kuuzwa kwa leseni halali mbona ni biashara duniani kote? In fact Tanzania tuna bucha za wanyama pori mbona sioni mkilalamika ila hizo hizo nyama zikiuzwa kabla hazijachinjwa ndio nchi imeuzwa??

Exposure ni ndogo sana hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…