SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
AmenMungu ni mwema, atatenda jambo kwa ajili ya watanzania wa Sasa na vizazi vinavyofuata.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu ni mwema, atatenda jambo kwa ajili ya watanzania wa Sasa na vizazi vinavyofuata.
Watakuja tu kuwashangaa mtakaokuwepo2050 hakuna mtalii atakuja tanzania
Kwa maana hiyo unamwomba Mungu atende muujiza mwingine mwaka huu?[emoji41]Mama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Wacha nitafute mahindi milipuko. Yangu macho! Meli kubwa tena yenye "...jina kama Darisalamu" 😱
Ninakupa mtihani fuatilia kila kitu unipe tofauti moja tu ya utawala wao! halafu ndio twende kwenye kisayansi!Mkuu acha uongo,
Alisema mwenyewe huyu msigwa anataka ushahidiThe Internet Never Forgets...
Kama hiki ndio alichokinaanisha, itakuwa jambo jema!SOKO LA WANYAMA HAI LIENDESHWE KISASA, TANZANIA TUNA MIFUGO MINGI
Tufanye kama vile wanavyofanya Australia kusafirisha kondoo, ngombe, mbuzi kupeleka masoko ya Omani na Arabuni
Livestock Transport: Take a ship tour onboard MV Becrux
Take a tour of the MV Becrux - a state-of-the-art purpose built live export vessel as it prepares to carry sheep and cattle from Australia to their overseas destinations. The MV Becrux has been engaged in live exports non-stop since its launch, carrying Australian sheep and cattle to various live export destinations in Asia and the Middle East. This livestock export ship has a desalination plant on board and produces all the fresh water for both livestock and crew. The MV Becrux has completed over 80 voyages carrying more than 3 million sheep and 500,000 cattle.
Analinda Tumbua Lake Lisiingie Mchanga TuAlisema mwenyewe huyu msigwa anataka ushahidi
Hakuna ubishi nchi yetu ni tajiri ila walioko kwenye uongozi Serikalini wanaigeuza shamba la bibi.Hii nchi haina kiongozi, tuna dalali wa maliasili zetu, wacha wajinga waendelee kumtetea.
Kwa hiyo, kwa muda huu ambao hawana Maritime Transport, wanatumia usafiri gani kusafirisha wanyama wetu?
Ndege.
Halafu wale wasiojielewa hii ndio wanaita chuki!.