SeenHIlo siwezi thibitisha kama wenyewe Israel walivyoshindwa thibitisha madai.
Ila wenyewe Israel walisema in every city corner of Israel there are CCTV cameras tena sophisticated ndio maana hata wale raia wa WestBank wakifanya uhalifu wanagundulika na kufatwa hadi kwao mkuu.
Kuutenganisha uarabu na uislamu ni sawa na kujaribu kutenga chupi na matrakoUarabu usiufananishe na uislam.
Nasisitiza,zipo nchi za kiislam na zimestaarabika hazina hayo mambo.
Hizo ni tabia za kiarabu sio za kiislam.
Kaifuatilie Bosnia ina waislam wengi ona walivyostaarabika kafuatilie na Azerbaijan ina waislam wengi kaone walivyostaarabika.
Shida ni jamii ya kiarabu sio uislam ninyi majamaa.
Kuutenganisha uarabu na uislamu ni sawa na kujaribu kutenga chupi na matrako
waliambiwa watoe ushahidi wakashindwa. Na ilifahamika kabisa wapi propaganda ile ilitokea, na yule aliyetangaza alipewa taarifa na jeshi la Israel yeye mwenyewe hakuona.Kwa hiyo hata watoto hawakuuwawa on that particular day? Simply kwa sababu hakuna footage captured.?
hata machifu wote waafrika kutoka nchi zilizoshiriki biashara ya utumwa nao walitajirika kwa biashara hiyo hiyo ya utumwa.Kuna Watu wako Zanzibar bila aibu huiona Zanzibar sehemu ya Oman na ni Waafrika, Licha ya kuwepo makumbusho ya soko la watumwa huko.
Waarabu wote waliorithi utajiri hapa Africa sehemu ya pesa zao zinatokana na biashara ya utumwa
Ok! Sikujua hilo. Kwa hiyo kumbe walivamia kambi za kijeshi za Israel?waliambiwa watoe ushahidi wakashindwa. Na ilifahamika kabisa wapi propaganda ile ilitokea, na yule aliyetangaza alipewa taarifa na jeshi la Israel yeye mwenyewe hakuona.
kitengo cha propaganda na hata hicho kituo cha television kilichotangaza kilikuwa na uhusiano na Netanyahu. Jaribu kusikiliza na news kutoka sources nyingine (za hao hao wazungu lakini wasiopenda dhuluma za Israel) na utapata balanced information.Ok! Sikujua hilo. Kwa hiyo kumbe walivamia kambi za kijeshi za Israel?
Sasa mkuu logic yako ni nini hasa? Kuwa unakataa hayo wanayofanyiwa au?Habari hi ni uwongo mtupu huyo anasema aliambiwa anaenda Dubai na kapelekwa Oman kwani alipo ondoka hakuona ticket yake na visa kuwa anaenda Oman? Hakusoma? Air port ya Malawi hawajui tofouti ya Dubai na Oman? Mkiambiwa wafrika ni wajinga mnabisha
Mimi nakuelewa sana! Ila nachojua Hamas waliohusika kwenye uvamizi huo walikuwa wengi in numbers na mission ilikuwa shoot to kill(kulingana na taaluma yangu na number of deaths). Kumbuka ilikuwa random shooting yaani wanakuja kama hapo kwako mmejifungia ndani wanapiga risasi madirishani kila chumba wakishindwa kuufungua mlango kwa nguvu either wanapiga RPG au wanaitia nyumba Kiberiti wanaacha inateketea wanaenda next house...na elewa walikuwa wametapakaa kila kona huko Southern Israel. Katika busara ya kawaida huwezi kukosa maiti za watoto kwenye aina hii ya uvamizikitengo cha propaganda na hata hicho kituo cha television kilichotangaza kilikuwa na uhusiano na Netanyahu. Jaribu kusikiliza na news kutoka sources nyingine (za hao hao wazungu lakini wasiopenda dhuluma za Israel) na utapata balanced information.
Mwarabu mwarabu mwarabu! Ndo maana Hamas walibaka kule Israel tarehe 7/10. Nazani na style ya Boko haram kuteka watoto wa shule na kuwabaka wametoa kwa ndugu zao wa kidini Warabu
Waarabu siku Zote wanaona mtu mweusi ni mtumwa.Hamas ushahidi wa kubaka haukupatikana na Israel aliambiwa athibitishe akaingia mitini.
Usijumlishe watu wote kisa WaOman wanafany ushenzi.
Mbona Qatar na falme za kiarabu watu wanaishi vizuri kwa hizo kazi za ndani?
Hakuna ushahidi huo ndio ukweli ,zote ni propaganda mara wameua kiongozi fulani ni uongo mtupu..waliambiwa watoe ushahidi wakashindwa. Na ilifahamika kabisa wapi propaganda ile ilitokea, na yule aliyetangaza alipewa taarifa na jeshi la Israel yeye mwenyewe hakuona.
Teh teh teh! We Jamaa bhanaKwani nani anawalazimisha kwenda uarabuni??
Hapa Zanzibar mumejazana kama kumbi wengine mnalala kwenye mapaa ya Nyumba za michezani. Si mkimbilie huko Italy na Vatican kwa mashoga mkatafute hizo kazi ??