Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

Uarabu usiufananishe na uislam.
Nasisitiza,zipo nchi za kiislam na zimestaarabika hazina hayo mambo.
Hizo ni tabia za kiarabu sio za kiislam.
Kaifuatilie Bosnia ina waislam wengi ona walivyostaarabika kafuatilie na Azerbaijan ina waislam wengi kaone walivyostaarabika.
Shida ni jamii ya kiarabu sio uislam ninyi majamaa.
Waarabu na uislam ni kama maji na samaki. Na ndio maana mnawaita vijukuu wa mtume Muhammad
 
Kwani nani anawalazimisha kwenda uarabuni??

Hapa Zanzibar mumejazana kama kumbi wengine mnalala kwenye mapaa ya Nyumba za michezani. Si mkimbilie huko Italy na Vatican kwa mashoga mkatafute hizo kazi ??
Wao wanauzwa kupitia upliners wao kama wale waliofungiwa kule Arusha na jamaa wa online marketing... Viongozi wao wanalipwa wanawachukua hapa Africa

Malipo wanapata kiduchu kwa vile wanaowapeleka wanapata asilimia fulani ,kikubwa kukamatwa hao jamaa maana wanawauza
 
Kuna watu mnashindwa kutofautisha kati ya uislamu na uarabu mnaishia kutukana dini bila sababu .

Mkae mkijua kwamba si kila muarabu ni muislamu waarabu wana dini zao nyingi tu na pia matendo ya mtu binafsi hawa reflect dini nzima kwa ujumla MUWE MNATUMIA AKILI JAPO KIDOGO.
 
Kujaribu kuutenganisha uislamu na uarabu ni sawa na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
 
Labda Uingereza imeamua kuitungia Oman uwongo wa kijinga sababu ilikataa ndege za vita za uingereza kutumia anga lake kwenda kupiga Yemen.
BBC hao hao wakileta habari za TB Joshua unaamini ila wakileta za ndugu zako Waarab unasema wanatunga uongo...😂😂
 
HISIA TOFAUTI ZAIBUKA JUU YA KIFO CHA MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEUAWA NA MWAJIRI WAKE ARUSHA.​

Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary

View: https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8

Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.

Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa ukatili wa kijinsia na hushindwa kuondoka maana passport zao hushikiliwa na waajiri katili na pia huwekewa kigezo na masharti kuwa kuuvunja mkataba wa kazi lazima wawalipe waajiri wao kitita cha fefha kabla ya kuruhusiwa kuondoka ...

Kufuatia vitendo hivyo vinavyofananishwa na kuwageuza wafanyakazi kuwa 'watumwa', BBC News Africa imefanya uchunguzi na kuongea na wahanga pia watetezi wa haki za binadamu waliooingilia kati na kuripotiwa kulipa maelfu ya pesa sarafu ya Rial ya Oman kuwakomboa wafanyakazi wa ndani wanaotesa na baadhi ya waajiri makatili ili waachikliwe huru kurudi nyumbani.

Hii ni sawa na biashara haramu ya kusafirisha binadamu kwa mawakala kuwahadaa wafanyakazi za ndani mishahara minono Oman lakini wengine wanaishia kudhalilishwa, kubaka, kupigwa na waajiri wao bila kupata msaada wowote toka kwa mawakala waliowashawishi kusafiri kwenda Oman kufanya kazi za ndani ....

Asasi maalum (charity) imejitokeza kuokoa wafanyakazi waliojikuta katika hali ngumu nchini Oman, na tayari kazi zake zimetambuliwa na watetezi wa haki za binadamu. Serikali ya Malawi nayo imejitosa kuwaokoa baadhi ya raia wake na kuiomba asasi hiyo kusaidia raia wake waweze kuachiwa na waajiri makatili, ili warudi nyumbani ...

Oman kuna wimbi kubwa la wafanyakazi wa kutoka nchi za Afrika kama Malawi, Kenya, Uganda, Tanzania n.k waliopelekwa huko na mawakala huku kukipatikana habari baadhi ya wafanyakazi hao wanapitia magumu na serikali za baadhi ya nchi za kiAfrika kujaribu kuweka mifumo ya ufuatiliaji wa hali za raia wao zipo vipi ......

Source: BBC News Afrika

Usije kushangaa huyu Paulo kamua cristina
 
Mwa

MWarabu ni yule yule hajawahi na hatakaa abadilike, ni katili na mbaguzi. Bado kuna wapumbavu wanaamini waarabu ni ndugu zao.
 
Tumesema mara nyingi humu kwamba waarabu sio watu ni mashetani tu wenye sura ya mwanadamu, angalia wale magaidi wa Hamas walivyowauwa watanzania eti halafu wapumbavu fulani humu wanataka waonewe huruma..!!

Hawa waarabu Israel ndio inawaweza kwa sababu ni jamii ya watu wakatili ni hakuna mfano, bado tunakumbuka vitendo vya kinyama walivyo wafanyia mababu zetu wakati wa biashara yao haramu ya utumwa. Bure kabisa.
Waislam wanaamini ni nduga zao wa damu, lugha yao ni lugha ya mwenyenzi Mungu
 
Mimi nakuelewa sana! Ila nachojua Hamas waliohusika kwenye uvamizi huo walikuwa wengi in numbers na mission ilikuwa shoot to kill(kulingana na taaluma yangu na number of deaths). Kumbuka ilikuwa random shooting yaani wanakuja kama hapo kwako mmejifungia ndani wanapiga risasi madirishani kila chumba wakishindwa kuufungua mlango kwa nguvu either wanapiga RPG au wanaitia nyumba Kiberiti wanaacha inateketea wanaenda next house...na elewa walikuwa wametapakaa kila kona huko Southern Israel. Katika busara ya kawaida huwezi kukosa maiti za watoto kwenye aina hii ya uvamizi
ndiyo sawa lakini mimi nazungumzia yule mtangazaji aliyesema kuwa watoto arubaini wamechinjwa. Kwenye vita tunasema havichagui maana anaekufa atakuwa ni kizee au mtoto, kwa hivyo hata watoto nao wamekufa.

Halafu kama unasema hivyo wale waliochukuliwa mateka ambao wengine hawajapatikana mpaka leo unadhani walipatikana kivipi? Vita vina siri nyingi lakini kwa vile Israel ndiyo ina vyombo vya propaganda ndiyo maana tunasikia upande mmoja tu.
 
Mwa

MWarabu ni yule yule hajawahi na hatakaa abadilike, ni katili na mbaguzi. Bado kuna wapumbavu wanaamini waarabu ni ndugu zao.
wewe mwenyewe muafrika huko mbali na hapo kwa muarabu kwa ukatili na ubaguzi. Mfano huko Congo au kwa wale watusi na wahutu, lakini bado unassema waafrika wote ni ndugu zako.

Hodari sana wa kusema ya wenzako lakini yako mwenyewe huyaoni.
 
ndiyo sawa lakini mimi nazungumzia yule mtangazaji aliyesema kuwa watoto arubaini wamechinjwa. Kwenye vita tunasema havichagui maana anaekufa atakuwa ni kizee au mtoto, kwa hivyo hata watoto nao wamekufa.

Halafu kama unasema hivyo wale waliochukuliwa mateka ambao wengine hawajapatikana mpaka leo unadhani walipatikana kivipi? Vita vina siri nyingi lakini kwa vile Israel ndiyo ina vyombo vya propaganda ndiyo maana tunasikia upande mmoja tu.
Sahihi kabsa
 
Kuna demu nilikua napona sahivi yupo uko. Sema ndio na namba amechange
 
Habari hi ni uwongo mtupu huyo anasema aliambiwa anaenda Dubai na kapelekwa Oman kwani alipo ondoka hakuona ticket yake na visa kuwa anaenda Oman? Hakusoma? Air port ya Malawi hawajui tofouti ya Dubai na Oman? Mkiambiwa wafrika ni wajinga mnabisha
Huu ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom