Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Waarabu na uislam ni kama maji na samaki. Na ndio maana mnawaita vijukuu wa mtume MuhammadUarabu usiufananishe na uislam.
Nasisitiza,zipo nchi za kiislam na zimestaarabika hazina hayo mambo.
Hizo ni tabia za kiarabu sio za kiislam.
Kaifuatilie Bosnia ina waislam wengi ona walivyostaarabika kafuatilie na Azerbaijan ina waislam wengi kaone walivyostaarabika.
Shida ni jamii ya kiarabu sio uislam ninyi majamaa.
Wao wanauzwa kupitia upliners wao kama wale waliofungiwa kule Arusha na jamaa wa online marketing... Viongozi wao wanalipwa wanawachukua hapa AfricaKwani nani anawalazimisha kwenda uarabuni??
Hapa Zanzibar mumejazana kama kumbi wengine mnalala kwenye mapaa ya Nyumba za michezani. Si mkimbilie huko Italy na Vatican kwa mashoga mkatafute hizo kazi ??
BBC hao hao wakileta habari za TB Joshua unaamini ila wakileta za ndugu zako Waarab unasema wanatunga uongo...😂😂Labda Uingereza imeamua kuitungia Oman uwongo wa kijinga sababu ilikataa ndege za vita za uingereza kutumia anga lake kwenda kupiga Yemen.
Wewe kafiri utakufa kwa kihoro. Tz tunaona watu wanavyotesana na wafanyakazi wa ndani tena wote wakiristoHalafu unaona Miafrika imevaa dera/kanzu na kuotesha mindevu eti ifanane na Mwarabu, hovyo sana.... Malaria 2
Ndio. Na wewe ulizaliwa muislam pengine baba yako akakutia ktk ukafiriKujaribu kuutenganisha uislamu na uarabu ni sawa na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
View: https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.
Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa ukatili wa kijinsia na hushindwa kuondoka maana passport zao hushikiliwa na waajiri katili na pia huwekewa kigezo na masharti kuwa kuuvunja mkataba wa kazi lazima wawalipe waajiri wao kitita cha fefha kabla ya kuruhusiwa kuondoka ...
Kufuatia vitendo hivyo vinavyofananishwa na kuwageuza wafanyakazi kuwa 'watumwa', BBC News Africa imefanya uchunguzi na kuongea na wahanga pia watetezi wa haki za binadamu waliooingilia kati na kuripotiwa kulipa maelfu ya pesa sarafu ya Rial ya Oman kuwakomboa wafanyakazi wa ndani wanaotesa na baadhi ya waajiri makatili ili waachikliwe huru kurudi nyumbani.
Hii ni sawa na biashara haramu ya kusafirisha binadamu kwa mawakala kuwahadaa wafanyakazi za ndani mishahara minono Oman lakini wengine wanaishia kudhalilishwa, kubaka, kupigwa na waajiri wao bila kupata msaada wowote toka kwa mawakala waliowashawishi kusafiri kwenda Oman kufanya kazi za ndani ....
Asasi maalum (charity) imejitokeza kuokoa wafanyakazi waliojikuta katika hali ngumu nchini Oman, na tayari kazi zake zimetambuliwa na watetezi wa haki za binadamu. Serikali ya Malawi nayo imejitosa kuwaokoa baadhi ya raia wake na kuiomba asasi hiyo kusaidia raia wake waweze kuachiwa na waajiri makatili, ili warudi nyumbani ...
Oman kuna wimbi kubwa la wafanyakazi wa kutoka nchi za Afrika kama Malawi, Kenya, Uganda, Tanzania n.k waliopelekwa huko na mawakala huku kukipatikana habari baadhi ya wafanyakazi hao wanapitia magumu na serikali za baadhi ya nchi za kiAfrika kujaribu kuweka mifumo ya ufuatiliaji wa hali za raia wao zipo vipi ......
Source: BBC News Afrika
Ni bora huyo mwarabu anakuona , Mwafrika anakuuwa kabisa , Magufuli alitufanyia nini hapa tena waafrika wenzakeWaarabu siku Zote wanaona mtu mweusi ni mtumwa.
Sawa ona fahari mwanamme kuolewa na muzungu Si unafuata kanisaWaarabu na uislam ni kama maji na samaki. Na ndio maana mnawaita vijukuu wa mtume Muhammad
MWarabu ni yule yule hajawahi na hatakaa abadilike, ni katili na mbaguzi. Bado kuna wapumbavu wanaamini waarabu ni ndugu zao.
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary
View: https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8
Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba.
Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa ukatili wa kijinsia na hushindwa kuondoka maana passport zao hushikiliwa na waajiri katili na pia huwekewa kigezo na masharti kuwa kuuvunja mkataba wa kazi lazima wawalipe waajiri wao kitita cha fefha kabla ya kuruhusiwa kuondoka ...
Kufuatia vitendo hivyo vinavyofananishwa na kuwageuza wafanyakazi kuwa 'watumwa', BBC News Africa imefanya uchunguzi na kuongea na wahanga pia watetezi wa haki za binadamu waliooingilia kati na kuripotiwa kulipa maelfu ya pesa sarafu ya Rial ya Oman kuwakomboa wafanyakazi wa ndani wanaotesa na baadhi ya waajiri makatili ili waachikliwe huru kurudi nyumbani.
Hii ni sawa na biashara haramu ya kusafirisha binadamu kwa mawakala kuwahadaa wafanyakazi za ndani mishahara minono Oman lakini wengine wanaishia kudhalilishwa, kubaka, kupigwa na waajiri wao bila kupata msaada wowote toka kwa mawakala waliowashawishi kusafiri kwenda Oman kufanya kazi za ndani ....
Asasi maalum (charity) imejitokeza kuokoa wafanyakazi waliojikuta katika hali ngumu nchini Oman, na tayari kazi zake zimetambuliwa na watetezi wa haki za binadamu. Serikali ya Malawi nayo imejitosa kuwaokoa baadhi ya raia wake na kuiomba asasi hiyo kusaidia raia wake waweze kuachiwa na waajiri makatili, ili warudi nyumbani ...
Oman kuna wimbi kubwa la wafanyakazi wa kutoka nchi za Afrika kama Malawi, Kenya, Uganda, Tanzania n.k waliopelekwa huko na mawakala huku kukipatikana habari baadhi ya wafanyakazi hao wanapitia magumu na serikali za baadhi ya nchi za kiAfrika kujaribu kuweka mifumo ya ufuatiliaji wa hali za raia wao zipo vipi ......
Source: BBC News Afrika
Waislam wanaamini ni nduga zao wa damu, lugha yao ni lugha ya mwenyenzi MunguTumesema mara nyingi humu kwamba waarabu sio watu ni mashetani tu wenye sura ya mwanadamu, angalia wale magaidi wa Hamas walivyowauwa watanzania eti halafu wapumbavu fulani humu wanataka waonewe huruma..!!
Hawa waarabu Israel ndio inawaweza kwa sababu ni jamii ya watu wakatili ni hakuna mfano, bado tunakumbuka vitendo vya kinyama walivyo wafanyia mababu zetu wakati wa biashara yao haramu ya utumwa. Bure kabisa.
ndiyo sawa lakini mimi nazungumzia yule mtangazaji aliyesema kuwa watoto arubaini wamechinjwa. Kwenye vita tunasema havichagui maana anaekufa atakuwa ni kizee au mtoto, kwa hivyo hata watoto nao wamekufa.Mimi nakuelewa sana! Ila nachojua Hamas waliohusika kwenye uvamizi huo walikuwa wengi in numbers na mission ilikuwa shoot to kill(kulingana na taaluma yangu na number of deaths). Kumbuka ilikuwa random shooting yaani wanakuja kama hapo kwako mmejifungia ndani wanapiga risasi madirishani kila chumba wakishindwa kuufungua mlango kwa nguvu either wanapiga RPG au wanaitia nyumba Kiberiti wanaacha inateketea wanaenda next house...na elewa walikuwa wametapakaa kila kona huko Southern Israel. Katika busara ya kawaida huwezi kukosa maiti za watoto kwenye aina hii ya uvamizi
wewe mwenyewe muafrika huko mbali na hapo kwa muarabu kwa ukatili na ubaguzi. Mfano huko Congo au kwa wale watusi na wahutu, lakini bado unassema waafrika wote ni ndugu zako.Mwa
MWarabu ni yule yule hajawahi na hatakaa abadilike, ni katili na mbaguzi. Bado kuna wapumbavu wanaamini waarabu ni ndugu zao.
Sahihi kabsandiyo sawa lakini mimi nazungumzia yule mtangazaji aliyesema kuwa watoto arubaini wamechinjwa. Kwenye vita tunasema havichagui maana anaekufa atakuwa ni kizee au mtoto, kwa hivyo hata watoto nao wamekufa.
Halafu kama unasema hivyo wale waliochukuliwa mateka ambao wengine hawajapatikana mpaka leo unadhani walipatikana kivipi? Vita vina siri nyingi lakini kwa vile Israel ndiyo ina vyombo vya propaganda ndiyo maana tunasikia upande mmoja tu.
Huu ndio ukweli.Habari hi ni uwongo mtupu huyo anasema aliambiwa anaenda Dubai na kapelekwa Oman kwani alipo ondoka hakuona ticket yake na visa kuwa anaenda Oman? Hakusoma? Air port ya Malawi hawajui tofouti ya Dubai na Oman? Mkiambiwa wafrika ni wajinga mnabisha
Hayo ni mavazi ya Yesu.Halafu unaona Miafrika imevaa dera/kanzu na kuotesha mindevu eti ifanane na Mwarabu, hovyo sana.... Malaria 2