physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Juzi tu hapa huko Nigeria dhehebu la kikristo,limeua watu wengi tu,wacha hapo Kenya waliouawa na dhehebu la kikristo,na nyuzi zimo humu.Mwanafunzi ni juzi tu huko Moshi,ameuliwa na waalimu,kwa kuchelewa namba,na nyuzi zimo humu,lakini matukio haya yqngetokea maeneo yenye uislamu,au maeneo ya waarabu,ungetukanwa uislamu.Kuna watu mnashindwa kutofautisha kati ya uislamu na uarabu mnaishia kutukana dini bila sababu .
Mkae mkijua kwamba si kila muarabu ni muislamu waarabu wana dini zao nyingi tu na pia matendo ya mtu binafsi hawa reflect dini nzima kwa ujumla MUWE MNATUMIA AKILI JAPO KIDOGO.
Mwa
MWarabu ni yule yule hajawahi na hatakaa abadilike, ni katili na mbaguzi. Bado kuna wapumbavu wanaamini waarabu ni ndugu zao.
Oman hamna ujinga huo, wahindi, wafilipini,wasirilanka,wabangladeshi miaka wako huko hutukusikia ujinga huo ila walipo wafungulia milango wafrika ndio tumesikia hayo tatizo mianamke ya kifrika mingi haijatulia ikikataliwa kupewa ruhusa kila week inanza maneno.Uarabu usiufananishe na uislam.
Nasisitiza,zipo nchi za kiislam na zimestaarabika hazina hayo mambo.
Hizo ni tabia za kiarabu sio za kiislam.
Kaifuatilie Bosnia ina waislam wengi ona walivyostaarabika kafuatilie na Azerbaijan ina waislam wengi kaone walivyostaarabika.
Shida ni jamii ya kiarabu sio uislam ninyi majamaa.
Matthew 19:10-12
Huyo Sheikh namfahamu vizuri hawezi kuongea ujinga huo, hizo ni propoganda zenu wakristo.Halafu waarabu wenye dini yao hutukana sana hawa wamatumbi ambao hung'ang'ania kwenye dini
Matthew 19:10-12
New International Version
10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”
11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given. 12 For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
👆 Kwa hiyo acha porojo za kipumbavu kama hujui maana ya neno "Eunuch" uliza kwa sababu wengine hamna elimu dunia ni ya madrasat tu.
Halafu waarabu wenye dini yao hutukana sana hawa wamatumbi ambao hung'ang'ania kwenye dini
Hayo ni mavazi ya Yesu.
Hata yangekuwa ya Yesu siwezi kuyavaa maana yanaendana na huko jangwani, sasa wewe Mmatumbi hapo Buza unavaa dera la nini.
Huyo Sheikh namfahamu vizuri hawezi kuongea ujinga huo, hizo ni propoganda zenu wakristo.
Uislam haubagui rangi au kabila wafrika wemejazana Saud Arabia na wanafanya kazi wengine wamepewa mpa uraia.
Acheni uwongo
Amewachoka sana ving'ang'anizi kwenye dini yao hadi anawaita mbwa...
Waarabu siku Zote wanaona mtu mweusi ni mtumwa.