Hakuna shida maana kwa sasa tupo uchumi wa kati..Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
Wewe umeona ni Tanzania tu iliyozuiliwa watu wake kuingia Oman
Mleta mada kaona akiandika nchi moja tu habari yake haitakuwa ya KUTISHA SANA ambapo ndio huwa lengo safi kwa wengine......"wajaze woga na Kisha Watawale!Watetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”
Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
Wewe umeona ni Tanzania pekee iliyozuwiwa watu wake kuingia Oman?Hiv nyiny watu mnamatope kichwan?
Kwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?Watetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”
Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
We call it silent economical warKama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Vipi Ghana na SA nao? Maana wamo kwenye hiyo orodhaKitendo cha kuruhusu kichwa kimoja kisichokubali hata kushauriwa kufanya maamuzi kwa niaba ya vichwa ml.60 kitaiweka Bongo kwenye mazingira magumu sana na mpaka kufikia hatua ya kugundua hili tunaweza tukawa totally isolated from the world. Jumuiya ya kimataifa inaona hatupo serious kabisa
Viongozi kichwa maji wote duniani wanapaswa kutawala awamu moja tu, mfano Trump...tatizo huku kwetu ni demokrasia ndo ishu ila nasi tungeshafanya yetu!.Kitendo cha kuruhusu kichwa kimoja kisichokubali hata kushauriwa kufanya maamuzi kwa niaba ya vichwa ml.60 kitaiweka Bongo kwenye mazingira magumu sana na mpaka kufikia hatua ya kugundua hili tunaweza tukawa totally isolated from the world. Jumuiya ya kimataifa inaona hatupo serious kabisa
Kila anayeandika usichokipenda wewe tayari anakuwa BAVICHA? Kwamba ukiwa TAGA huwezi kufikiri tofauti? Try to act as if you are a GT for onceKwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?
Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani