rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Ushabiki mandazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Mkuu, hii nchi ilivyo sasa hivi, haihitaji hasira unaweza ukafa kabla ya siku zako walai tena, maana kila siku ni kituko cha kutia hasira.Yaan wew jamaa sijui mzalamo?[emoji23][emoji23]
Sijui unakula mmea[emoji23]
Mwanangu unaonekana mchesh mweny masikhara sana [emoji23][emoji23]
By the way me ni followers wako mzee[emoji23][emoji23]
Hatuhitaji kwenda kwao. Kuna corona nyingi huko twende kutafuta nini?Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Corona iliyomuua kijazi imeletwa na bavicha? Acha kusaka uteuzi kwa kuwasingizia uongo Bavicha, CCM wenye Ubongo wamezindika sasa ndiyo wanaupinga unyama wenu wa kuacha watanzania wasalimiane wakumbatiane kwa mikono pasipo kuwakemea hata siku mojaKwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?
Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani
Wewe ndiyo inahitajika kwenda ndiyo maana wamekufungia usiende huko, boss zako wanaficha takwimu sasa wameumbuliwa kwa kukataliwa sehemu nyingi DunianiHatuhitaji kwenda kwao. Kuna corona nyingi huko twende kutafuta nini?
Huu uonevu wa kutumia corona kuwabambikia kesi watu kisa wamepost picha video au habari za corona ndiyo kitu cha hovyo kupita kiasi.Mkuu, hii nchi ilivyo sasa hivi, haihitaji hasira unaweza ukafa kabla ya siku zako walai tena, maana kila siku ni kituko cha kutia hasira.
Mi imefikia hatua naiogopa hata simu kupokea ikiita, sio kwasababu ya madeni, ila kuogopa taarifa na michango ya msiba. Simu ikiita presha inapanda. Tutatoana roho kwa presha hizi.
Halafu juzi waziri analeta masihara eti amesema, kuanzia jumatatu (Yaani jana) uki "UKI-POST AU HATA UKI-LIKE" kitu ambacho hauna uhakika nacho, ukamatwe. Hata ku like mzee duh. Huu si wehu wa kiwango cha lami!!!
Itatuathiri kwasaba tumeoleana Sana na Oman we kiumbe are you serious? Kuoleana kunaathiri Nini zanzibar kiuchumi?Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Duh !! Eee bhana eee !Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Mkuu stick kwenye mada iliyopoJF bwana, zamani ndiyo ilikuwa chanzo changu pekee cha habari.....
Mleta mada amaeishiwa wino wa kuandika nchi nyingine ambazo pamoja na Tanzania watu wake wamezuiwa kuingia Oman..
Aibu yako mleta mada!
Nikumbushe jambo moja Alexander The Great kuwenye mwili wako kuna kitu kinaitwa "subconscious mind" kwa kiswahili wanaita mawazo ya kina....sehemu ambapo vitu vyote vinafanyika bila utashi wako mfano kkupiga kope, kupumua, mapigo ya moyo, nk kuna kitu unaongeza ambacho kitakuwa kinafanyika bila utashi wako....yaani umekitengeneza au kwa kujua au bila kujua na kitakuwa kinafanyika automatically bila utashi wako maana "subconscious mind" huwa hajali unaigiza au unatania....yaani hata ikitokea fursa ya kukunufaisha kale ka element ka KUPOTOSHA mambo katakuwa kanajirudia bila wewe kujua....!
Kwa hiyo ukikuta mlevi anajisaidia haja kubwa barabarani na ww unajisaidia hapo, afu ukikamatwa unajitetea kuwa siyo ww pekee umefanya kosa?!!!Imezuia abiria kutoka nchi Kumi, zikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Nigeria.
Sio Tanzania pekee!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani unataka kusema Mwajuma Ndala Ndefu alivyo kwa Kinondoni ndio kama Tanzania kwa AfrikaDunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
Zanzibar hatupangiwiZanzibar kwisha kazi.muungano umewacost.
Umeandika nini sasaJF bwana, zamani ndiyo ilikuwa chanzo changu pekee cha habari.....
Mleta mada amaeishiwa wino wa kuandika nchi nyingine ambazo pamoja na Tanzania watu wake wamezuiwa kuingia Oman..
Aibu yako mleta mada!
Nikumbushe jambo moja Alexander The Great kuwenye mwili wako kuna kitu kinaitwa "subconscious mind" kwa kiswahili wanaita mawazo ya kina....sehemu ambapo vitu vyote vinafanyika bila utashi wako mfano kkupiga kope, kupumua, mapigo ya moyo, nk kuna kitu unaongeza ambacho kitakuwa kinafanyika bila utashi wako....yaani umekitengeneza au kwa kujua au bila kujua na kitakuwa kinafanyika automatically bila utashi wako maana "subconscious mind" huwa hajali unaigiza au unatania....yaani hata ikitokea fursa ya kukunufaisha kale ka element ka KUPOTOSHA mambo katakuwa kanajirudia bila wewe kujua....!
Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
Huko wanakochukua hizo tahadhari mbona wanakufa kwa wingi tu? Wasitulushie jumba bovu! Dunia ingekuwa na akili mlipuko ulipotokea China wangefunga mipaka na China, sasa wamesubili korona imesambaa dunia nzima, ndo wanakomaaa! Watuache kila mmoja apambane kivyake tusilazimishaneDunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
KiaziKila anayeandika usichokipenda wewe tayari anakuwa BAVICHA? Kwamba ukiwa TAGA huwezi kufikiri tofauti? Try to act as if you are a GT for once
Sisi tunaongelea Nchi yetu. SSudan, Guinea, Nigeria and the rest is none of our business. Kwanza Oman hawajasema kuwa wanatuzuia kwa kuwa hatufuati kanuni za WHO. Wao wanasema uamuzi wao ni “wa kupambana na maambukizi ya corona”