paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mlipuko huu wa Corona, kila mtu alinde abiria wake, Mimi Niko kijijini, Nimepiga marufuku mtu yeyote anayetokea mijini kukanyaga kwangu,Siku mwanao akija na kukuonyesha matokeo amescore 7% ukamuhoji na akakwambia “tupo wengi tumepata 7% na wengine wamepata 3%”. nadhani wewe unaweza kuwa happy tu kwa kuwa “wapo wengi na hivyo sio shida” na life likasonga as if hakuna lililotokea
Two wrongs don’t make it a right. Look at the big picture!
Wewe unaona ajabu Kwa Oman kulinda watu wake siyo???