Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Yeye ni mtanzania ameamua kuizungumzia nchi yake sasa kuna tatizo gani?Halafu Tanzania kuwekwa kundi moja na nchi kama South Africa ni hatari sana maana hilo Taifa limeathiriwa pakubwa.
Mpaka Oman kufikia kuiwekea vikwazo vya safari Tz basi ujue kuna tatizo kubwa ndani ya serikali hawalifanyii kazi.
Point ya maana. South Africa na Nigeria zina strain ya corona inayotisha zaidi na imeshaonekana kwa wasafiri toka Tanzania na nchi zingine. Tatizo zaidi ni kuwa Tanzania kuna blackout ya taarifa za Covid-19, hivyo hakuna namna ya kujua status ikoje. Wasiotaka shida wanatupiga blanket ban tu.