Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Na kwanini ihusishe nchi moja kati ya hizi kama hiyo habari haiko biased?kwanini nisiseme Raia wa Tanzania na nchi nyingine 1 ya Afrika wazuiwa kuingia UK badala ya kusema Raia wa Tanzania na Malawi wazuiwa kuingia UK?anyway naweza kuwa sijui ila ile heading imekaa kishabiki shabiki!yaani aliyeiandaa hayuko "neutral"km mwanahabari anatakiwa awe imekuwa km headings za magazeti ya Udaku.Mkuu kwa akili yako ndogo tu, kama unaongelea/kuandika suala la Corona kati ya Tz na Malawi, heading yako utahusisha Malawi au Tz, ndiyo maana hata vichaa wawili kuna mmoja ni kichaa zaidi.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app