Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi korona ipo au haipo Tanzania?Mimi huwa nawaita watu aina ya mleta mada ni wapumbavu ila mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban!
Katika nchi hizo Kuna South Afrika, Ghana, nk na wamefanya hivyo kwa muda wa siku 12, lakini kwa kuwa mleta mada ana ujinga wake kichwani akaona aandike alivyoandika.
Wakati mwingine ukiona Melo na JF wanapata misuko suko sababu ni ni upumbavu wa aina ya mleta mada.
HAWANA LOLOTE WANATUONEA GERE TU NA TANGAWIZI ZETU.. 😷 🥴Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
kwa hito unataka tupate faraja kwa sababu ni nchi nyingi?!? swali hapa na masikitiko hapa ni WHY MY TANZANIA!?!? hata kama ingekuwa kwa siku moja tu WHY TANZANIA?!? mi naona ndio la msingi hapaMimi huwa nawaita watu aina ya mleta mada ni wapumbavu ila mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban!
Katika nchi hizo Kuna South Afrika, Ghana, nk na wamefanya hivyo kwa muda wa siku 12, lakini kwa kuwa mleta mada ana ujinga wake kichwani akaona aandike alivyoandika.
Wakati mwingine ukiona Melo na JF wanapata misuko suko sababu ni ni upumbavu wa aina ya mleta mada.
Yeye ni mtanzania ameamua kuizungumzia nchi yake sasa kuna tatizo gani?Halafu Tanzania kuwekwa kundi moja na nchi kama South Africa ni hatari sana maana hilo Taifa limeathiriwa pakubwa.Mimi huwa nawaita watu aina ya mleta mada ni wapumbavu ila mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban!
Katika nchi hizo Kuna South Afrika, Ghana, nk na wamefanya hivyo kwa muda wa siku 12, lakini kwa kuwa mleta mada ana ujinga wake kichwani akaona aandike alivyoandika.
Wakati mwingine ukiona Melo na JF wanapata misuko suko sababu ni ni upumbavu wa aina ya mleta mada.
Wanachoangalia ni wingi wa maambukizi maana watanzania wanaoingia Oman wakipimwa kule zaidi ya 18% wanapatikana na virusi vya korona.Kwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?
Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani
Hata wewe piaWatetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”
Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
Siku mwanao akija na kukuonyesha matokeo amescore 7% ukamuhoji na akakwambia “tupo wengi tumepata 7% na wengine wamepata 3%”. nadhani wewe unaweza kuwa happy tu kwa kuwa “wapo wengi na hivyo sio shida” na life likasonga as if hakuna lililotokeaWewe umeona ni Tanzania tu iliyozuiliwa watu wake kuingia Oman
Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".
Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
Hawana akili wameng'ang'ania huku bila faida yoyoteZanzibar kwisha kazi.muungano umewacost.
Baki na uhuru wako, hata panya wapo huru lakini wanazuiwa kuingia kwenye maboma ya watuHata katika familia ukiona huna msimamo wa maamuzi yako huwezi huthaminiwa Tanzania tuna maamuzi yetu kama nchi wasitubabaishe kabisa 1961 uhuru tulipata
Maneno ya GODBLESS Lema yanatimiaKama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.
Chanzo: BBC
Subiri atajitokeza mwanasiasa anakwambia kwani wakati wanaoa hawakujua kama sisi tuko tulivyo?Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Mkuu, hii nchi ilivyo sasa hivi, haihitaji hasira unaweza ukafa kabla ya siku zako walai tena, maana kila siku ni kituko cha kutia hasira.
Mi imefikia hatua naiogopa hata simu kupokea ikiita, sio kwasababu ya madeni, ila kuogopa taarifa na michango ya msiba. Simu ikiita presha inapanda. Tutatoana roho kwa presha hizi.
Halafu juzi waziri analeta masihara eti amesema, kuanzia jumatatu (Yaani jana) uki "UKI-POST AU HATA UKI-LIKE" kitu ambacho hauna uhakika nacho, ukamatwe. Hata ku like mzee duh. Huu si wehu wa kiwango cha lami!!!