[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huuu uharo wako ulihara pesa?
Uliyawahi lakini au yalikukuta?Mimi nilivamiaga tu kihoteti cha watu na kwenda moja kwa moja toilet... Tukaja kuulizana maswali baadae.
Uzuri vituo vikubwa vya daladala hapa dar vin vyoo vizuri na visafi tu!!!
kushuka haiwezekan BAK bus za kilimanjaro hazisimami hovyoHahaha lol! Ukatamani ushuke wakuache hapo ufanye yako kisha upande basi linalofuata! Lol!
hahahhhhahHebu tuambie bwana maana hizi habari zikikukuta na aibu zinaisha, mie nilikojoa mbele ya wanaume bila hata aibu daaah!!!
Yaani huwa siwezi kula kula kabisa safarini, ila maji nakunywa sana na biskuti basi.Mie sili kitu ni mwendo wa maji ya kunywa hadi nifike niendako. Kuchuma dawa kama kazi lakini kufakamia vyakula vya barabarani hapana kabisa aisee.
hahhahahhaAcha roho Mbaya bas shunie share the experience bas
Mumu vipi wewe...ilikuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kipindi ni mdogo alikuja nyumbani pacha mwenzake na mama sasa mzee akanunua kondoo dume kubwa kwa ajili ya mgeni (nilikuwa na miaka kama 8-9 hivi).
Basi kwa vile mgeni alifika usiku na mambo yakafanyika usiku, nilishtushwa na sauti AMKA ULE nikaamka mwanaume nikapiga mkia wa kondoo bila kula ugali wala nini, baada ya mlo nikaenda zangu kitandani kuwazua maisha ya utoto maana nilikuwa nawaza sana enzi hizo.
Kiukweli sikujua kinachoendelea usiku ule nilishtukia kumekucha na nikavaa nguo za shule kwenda masomoni (shule) bila kunawa uso wala miguu.
Ile nafika mlangoni nikasikia mzee "Naombeni mmsaidie huyo tafadhali".
Kichwa kizima,miguu,mikono,shingo, ni uharo mtupu yaani nzi wako nyuma kama vile kuna maandamano.
Niliogeshwa na ndoo mbili za maji, kwenda kitandani walichokiona hakiwezi elezeka kwa awamu hii ya Tano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliyawahi lakini au yalikukuta?
Hapana sio ukali, nimekuuliza swali kuwa vipi kwa upande wako haujawahi kukutwa na bwana uharo?Hahaha....mmh kuna namna hapa mbona umekuwa mkali gafla lol
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Shemeji acha tu, kama walikiona basi tena ila kulikuwa hamna jinsi.Yaani shemeji nimekionea hicho kikojoleo huruma jinsi ulivyokiaibisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi bado aseeh... hahahaHapana sio ukali, nimekuuliza swali kuwa vipi kwa upande wako haujawahi kukutwa na bwana uharo?
Yaani huwa siwezi kula kula kabisa safarini, ila maji nakunywa sana na biskuti basi.
Siku hizi nimeanza kutembea na za kuzuia kuharisha aisee!!!Inashauriwa kutembea na dawa za kuzuia kuharisha na panadol
Yaani hata hotelini nikishuka ni kwenda toi na kununua maji tu.Uko kama mimi. Sijui mahindi ya kuchoma/ kuchemsha, vitumbua, samaki wa kukaanga, maandazi, kuku za kukaanga huwa nakodoloe macho tu kama sivijui vile lol!