Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu


Imewahi nitokea wakati nipo shule ya msingi nilibanwa nikajitahidi kutembea kwa kubana miguu lakini wapi vitu vikataka anza penya , kuona hivyo nikaongia choo cha watu basi kilikuwa na mlango wa gunia uswazi, yule mama bila aibu akaja funua gunia mimi nafanya yangu yeye ananihoji maswali , nikawa namjibu huku nanya akasepa zake.

Pia niliwahi banwa nikiwa safarini wakati wa ukubwani nikitoka Mbeya to Dar, nilikatisha safari Iringa nikachukua guest bila kupenda ,kesho yake ndo nikaendelea na safari ya Dar.Siku hizi kama nasafiri nakuwa makini sana vyakula vya kula siku moja kabla ya safari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwana, U hav maDe ma Day I say
 
2015 natoka Dar naenda Iringa TP ndani ya Otta high class tunakaribia kufika Moro hv tumbo Lima an a mambo yake... Tumbo linauma linaachia uzuri nilikuwa Na flagyn nikapiga kama 5 Mara moja tumetoka msamvu likazidi sasa mbele kidogo wanapaita nyama choma tukasimama mwanaume nikashuka Kwa speed ya light mpk Toilet yaani ilikuwa pyeeeeeeeh sampuli ya Pora... aseeeh mpaka machozi yakatoka huku nawaswas gari itaniacha... Namshukuru Mungu baada ya hapo kidogo hali ikaanza kuwa Pouwaa....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
hiyo kitu ni hatari nilisha wahi muachia konda Elf 10,yule bahati nzuri ile narudi ghetto nikajikuta nimepanda kwenye gari ile ile!
 
Ahahhaahaaaa
 
Pole sana
 
[emoji14] [emoji14] [emoji15] [emoji14] duuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…