gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Imewahi nitokea wakati nipo shule ya msingi nilibanwa nikajitahidi kutembea kwa kubana miguu lakini wapi vitu vikataka anza penya , kuona hivyo nikaongia choo cha watu basi kilikuwa na mlango wa gunia uswazi, yule mama bila aibu akaja funua gunia mimi nafanya yangu yeye ananihoji maswali , nikawa namjibu huku nanya akasepa zake.
Pia niliwahi banwa nikiwa safarini wakati wa ukubwani nikitoka Mbeya to Dar, nilikatisha safari Iringa nikachukua guest bila kupenda ,kesho yake ndo nikaendelea na safari ya Dar.Siku hizi kama nasafiri nakuwa makini sana vyakula vya kula siku moja kabla ya safari