Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

Nakumbuka kipindi ni mdogo alikuja nyumbani pacha mwenzake na mama sasa mzee akanunua kondoo dume kubwa kwa ajili ya mgeni (nilikuwa na miaka kama 8-9 hivi).

Basi kwa vile mgeni alifika usiku na mambo yakafanyika usiku, nilishtushwa na sauti AMKA ULE nikaamka mwanaume nikapiga mkia wa kondoo bila kula ugali wala nini, baada ya mlo nikaenda zangu kitandani kuwazua maisha ya utoto maana nilikuwa nawaza sana enzi hizo.

Kiukweli sikujua kinachoendelea usiku ule nilishtukia kumekucha na nikavaa nguo za shule kwenda masomoni (shule) bila kunawa uso wala miguu.

Ile nafika mlangoni nikasikia mzee "Naombeni mmsaidie huyo tafadhali".

Kichwa kizima,miguu,mikono,shingo, ni uharo mtupu yaani nzi wako nyuma kama vile kuna maandamano.

Niliogeshwa na ndoo mbili za maji, kwenda kitandani walichokiona hakiwezi elezeka kwa awamu hii ya Tano.
 
Huu ndiyo ulikuwa mwendo wako kimya kimya
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]lol!
Halafu sasa ukiwa unaanza kuumwa jasho linakumiminka hatar sana
Kama uko kwenye buss likipita kwwnye tuta unasimama nalo
Ukiwa umemaliza saa Ndio unaanza kujishtukia
 
Nakumbuka nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuelekea Dodoma. Tulipofika Kisasa tumbo likanivuruga. Yaani nilikuwa ninatoka jasho mwili mzima, bus likitikisika kidogo mimi taaani. Ile kufika bus stand pale Dom nikatoka nduki kuelekea kwenye vyoo vya pale stand. Kufika pale pa kutolea pesa wala sikutaka kukawia wala nini nikatupa bag la laptop kwa yule anayekusanya pesa nikazama chooni ile kuinama tu huo uharo ulikuwa unatoa mlio kama tarumbeta. Baada ya kumaliza nikaenda kutoa tsh 200 yao, yule mhudumu alikufa kwa kicheko. Mimi wala sikujali nikasepa zangu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mie sili kitu ni mwendo wa maji ya kunywa hadi nifike niendako. Kuchuma dawa kama kazi lakini kufakamia vyakula vya barabarani hapana kabisa aisee.

Mie safarini chakula changu kikuu huwa ni biskuti za digestive na maji baaaas, hivyo haja ndogo ndio huwa inanisumbua.
 
Nakumbuka kipindi ni mdogo alikuja nyumbani pacha mwenzake na mama sasa mzee akanunua kondoo dume kubwa kwa ajili ya mgeni (nilikuwa na miaka kama 8-9 hivi).

Basi kwa vile mgeni alifika usiku na mambo yakafanyika usiku, nilishtushwa na sauti AMKA ULE nikaamka mwanaume nikapiga mkia wa kondoo bila kula ugali wala nini, baada ya mlo nikaenda zangu kitandani kuwazua maisha ya utoto maana nilikuwa nawaza sana enzi hizo.

Kiukweli sikujua kinachoendelea usiku ule nilishtukia kumekucha na nikavaa nguo za shule kwenda masomoni (shule) bila kunawa uso wala miguu.

Ile nafika mlangoni nikasikia mzee "Naombeni mmsaidie huyo tafadhali".

Kichwa kizima,miguu,mikono,shingo, ni uharo mtupu yaani nzi wako nyuma kama vile kuna maandamano.

Niliogeshwa na ndoo mbili za maji, kwenda kitandani walichokiona hakiwezi elezeka kwa awamu hii ya Tano.
Hahahaha
 
Halafu sasa ukiwa unaanza kuumwa jasho linakumiminka hatar sana
Kama uko kwenye buss likipita kwwnye tuta unasimama nalo
Ukiwa umemaliza saa Ndio unaanza kujishtukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilivamiaga tu kihoteli cha watu na kwenda moja kwa moja toilet... Tukaja kuulizana maswali baadae.
Uzuri vituo vikubwa vya daladala hapa dar vin vyoo vizuri na visafi tu!!!
 
Back
Top Bottom