mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Mbinguni ya wapi!!?? Utapeli tu.Umaskini ukishawachapa kisawa sawa turufu ya mwisho ni kuziangukia dini kama ahueni yenu.kwa nini huyo mungu wa akhera asiwape unafuu sasa hivi mpaka asubiri mfike kwenye hilo eneo la kufikirika ambalo halipo!!?? Dini zote ukristo na uislamu ni utapeli ambao mpaka sasa Kuna vilaza wanaaminiKesho akhera/mbinguni huko hakutakuwa na vibubu
Unanifokea mm kwani ndio ninaeomba broMbinguni ya wapi!!?? Utapeli tu.Umaskini ukishawachapa kisawa sawa turufu ya mwisho ni kuziangukia dini kama ahueni yenu.kwa nini huyo mungu wa akhera asiwape unafuu sasa hivi mpaka asubiri mfike kwenye hilo eneo la kufikirika ambalo halipo!!?? Dini zote ukristo na uislamu ni utapeli ambao mpaka sasa Kuna vilaza wanaamini
Wewe hujaomba ila unawasemea watoaji swadaka kwamba wanaiweka hazina akhera mahali ambapo mchwa Wala wezi hawafikiππUnanifokea mm kwani ndio ninaeomba bro
Sahihi mkuu, zamani ombaomba walikuwa wachache wakijulikana kama ni kutoka Dodoma zaidi na hadi kukawa kama na stigma kuwahusu ila sasa siku hizi ambapo tunaambiwa ndio kuna maendeleo ombaomba wamekuwa wengi sana na limekuwa jambo la kawaida tu!Kiujumla utamaduni wa kuombaomba, ambao ulikuwa kitu cha aibu sana, umefanywa kuwa kitu cha kawaida sana.
Nilichotaja hapo ni kanuni za sadaka no moreWewe hujaomba ila unawasemea watoaji swadaka kwamba wanaiweka hazina akhera mahali ambapo mchwa Wala wezi hawafikiππ
huenda wamepata mafunzo ya kuomba omba chadema hao,Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa makanisa yanayoitwa ya Kiroho huwa wanatembea Bar kuomba mchango wa ujenzi wa kanisa kutoka kwa walevi Bar!
Kuna kijana anaomba msaada eti wa kusaidia watu wengine halafu anasema ni sadaka unatoa!
Tofauti ya ligi ya simba na yanga hii ya ccm na chadema ni ya mtutu wa bundukihuenda wamepata mafunzo ya kuomba omba chadema hao,
maana chadema wanaomba hadi kwenye mikutano ya hadhara aise, dah! π
Gentleman,Tofauti ya ligi ya simba na yanga hii ya ccm na chadema ni ya mtutu wa bunduki
Astaghfirullah!Mbinguni ya wapi!!?? Utapeli tu.Umaskini ukishawachapa kisawa sawa turufu ya mwisho ni kuziangukia dini kama ahueni yenu.kwa nini huyo mungu wa akhera asiwape unafuu sasa hivi mpaka asubiri mfike kwenye hilo eneo la kufikirika ambalo halipo!!?? Dini zote ukristo na uislamu ni utapeli ambao mpaka sasa Kuna vilaza wanaamini
Kuisema chadema ni free of charge shida inakuja kuisema ccm ngoja nitafute mwanasheria kabla sijatoa nenoGentleman,
aise chadema ni mafundi kwenye vizinga na utapeli wa pesa ni balaa π
Kuna walioboresha siku hizi hawapigi kelele, wanaingia na bahasha ndogo zenye kikaratasi chenye maneno ya Biblia wanagawa bus zima kisha wanakuambia urudishe bahasha na sadaka uondoke na karatasi yenye ujumbe.Kuna wale wahubiri WA mabasi ya mikoani wale nao NI omba omba wabunifu