OMBEENI UHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA YENU BILA KUCHOKA..

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,

na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....

hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu awabariki sana,
na dominica njema 🐒
 
Ujumbe mzuri sana kiongozi....

ila hapo kwenye uhusiano na uchumba unaweza ukawa unamuombea mpenzi wako na yeye anamuombea na kumtolea sadaka mpenzi wake🤨
Mwishoni utachoka bila kuchoshwa
 
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,

na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....

hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu awabariki sana,
na dominica njema 🐒
KATAA NDOA. NDOA NI UTAPELI. OVER
 
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,

na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....

hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu awabariki sana,
na dominica njema 🐒
1724562239866.png
 
Amen.
 
Back
Top Bottom