Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.

Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.

I beg you by five books of Moses please don't let Musonda go.

Am saying this from a spiritual perspective.

Anga la sasa katika ulimwengu wa kiroho kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, linalazimisha Musonda lazima aendelee kuwepo ndani ya kikosi cha Yanga no matter what.

Am saying this because I know what Musonda' s aura represents in the realm of the spirit.

Ningekuwa mkuu wa benchi la ufundi la Yanga ningeshauri Musonda ndio awe wa kwanza kuingia na kutoka ndani ya pitch.

Please my brother. Take this advice serious

"Am saying this from a spiritual perspective"

Pumbavu kabisa
 
"Am saying this from a spiritual perspective"

Pumbavu kabisa
🤣🤣🤣🤣

Jamaa unaonekana una stress sana veve.

Dah hadi nakuonea huruma.

Tatizo ni nini mkuu ? Kazi ama biashara haziendi vizuri?
 
🤣🤣🤣🤣

Jamaa unaonekana una stress sana veve.

Dah hadi nakuonea huruma.

Tatizo ni nini mkuu ? Kazi ama biashara haziendi vizuri?

Ungejua maisha ninayoishi!!!! Haya we! Basi tu mapumziko yangu baada ya kukesha na kazi zangu ni jamii Forums, na huku nakuta vijana wanaandika ujinga, lazima tuwaonye.
 
Sahihi mkuu wachezaji wakuondoka Yanga ni Konkon na Gift Fredy
Hawa ni sababu hawakupewa nafasi sana, kama yule Gift naamini yuko vizuri tu na bado mdogo.
 
Moloko Jesus, Skudu Makudubhela na Hafiz Konkoni ndio wanatakiwa wapeleke mahali kwa mkopo! Hii itasaidia Yanga kuingiza vyuma vingine vitatu!
 
Sahihi mkuu wachezaji wakuondoka Yanga ni Konkon na Gift Fredy
Gift Fredy utakuwa umemwonea, yule dogo pale haondoki hata Gamondi mwenyewe alishasema kwa umri wake hatakiwi kutoka Yanga!
 
Musonda bado anakipiga vizuri, hapo wa kuachwa ni Konkon

Moloko naye bado wa moto asiachwe
Kwa Moloko unazingua, Moloko na Konkon ndo watu wa kwanza kuondoka, ikifuatiwa na Gift Fred.
 
Konkoni na beki la CAF Gift Fredy hawa watupishe kwanza.....

Musonda, skudu na Moloko tuwaache kwanza....wananchi hatuna neno nao.

Kinachomcost Moloko ni mfumo, Gamondi huwa anapenda kujaza viungo na kuua winga. Na huwa anapata matokeo.

Ila akifanya rotation na hakuna mchezaji wa kumweka benchi Moloko kwenye ile wing ya kulia.
Mimi timu ikiwa na Moloko au isipokuwa naye yote naona ni sawa, na asipokuwepo naonaga ndo nzuri zaidi.
 
Nipo poa sana Kaka, wala sina chembe ya stress, mtu anaongelea ma mpira yenye ma ushirikina halafu anataja Mungu, huyo si Mpumbavu.
Sijamtaja Mungu kaka nimemtaja Mussa..Mussa alikuwa mfanya mazingaombwe. Ana vitabu vyake vya siri ameviandika. Wachawi na wajanja wanajua wote wanajua kuhusu hivyo vitabu na nguvu yake. Nilipotaja 5 books of Moses hiyo ni code ambayo huwezi kuijua kama Wewe sio mjanja maana kwenye mambo ya rohoni. Reaction yako imethibitisha kwamba kwenye mambo ya rohoni wewe bado mchanga sana.
 
Konkoni na beki la CAF Gift Fredy hawa watupishe kwanza.....

Musonda, skudu na Moloko tuwaache kwanza....wananchi hatuna neno nao.

Kinachomcost Moloko ni mfumo, Gamondi huwa anapenda kujaza viungo na kuua winga. Na huwa anapata matokeo.

Ila akifanya rotation na hakuna mchezaji wa kumweka benchi Moloko kwenye ile wing ya kulia.

Watu wa kuwakimbiza hapo ni Konkoni, Gift na Skudu...
 
Kama mfumo wa Gamondi hautumii mawinga sasa huu usajili ya Okrah tunaousikia utakuwa umefanywa na nani?
 
Watu wa kuwakimbiza hapo ni Konkoni, Gift na Skudu...
Skudu tena???

Ila watu hamna jema

Huyu si ndio yule alipigiwa promosheni na ttulikesha macho wazi kusubiria atangazwe saa 6?

Kweli Soka la bongo ni kivyetuvyetu
 
Back
Top Bottom