Mchezaji wa kuachwa ni moloko, skudu na konkon.. Moloko ni winga wa kizaman sana na huyo skudu ni ball dancer tu hakuna mchezaji pale.
Musonda apewe muda naamini ana kitu
Yanga ilete winga mbunifu itapendeza zaid anayetumia mguu wa kushoto acheze upande wa kulia, winga anayelifata box akiwa na mpira, winga anayemfata beki na kulazimisha kuingia kwenye box. Moloko winga wa kizaman sana aondoke.
Asajiliwe Holding midfielder halisi ili aucho asogee acheze kama Central midfielder kutokana na uwezo mkubwa wa pasi sahihi wa aucho anapaswa kucheza Central midfielder