Ombi kwa Injinia Hersi Said: Chonde chonde naomba msimuache Musonda

Skudu hapana. Bado tunamuhitaji
 
musondo is here to stay
 
Ni kweli yule jamaa yupo vizur sana kwenye pitch namkubali sana! I like the guy. Hizi taarifa hazitakua nzuri kama ni kweli..
Musonda is my third player in my list ukianza na Pacome, aziz Ki, Musonda, Lomalisa, kibabage, Aucho....e.t.c
 
Vipi hauna ubuyu wake?πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Itabidi nirudie kuucheza tena ile video kuweka msisitizo sehemu ile Musonda anasikitikia kukosa goli ili niwachunguze majirani yake...naweza kupata picha ya Nifah
 
Itabidi nirudie kuucheza tena ile video kuweka msisitizo sehemu ile Musonda anasikitikia kukosa goli ili niwachunguze majirani yake...naweza kupata picha ya Nifah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kama Azam walirecord vizur,,, au ingekuwa ulaya record na video nyingi ni raisi kumjua nifah,
 
Waondoke ngushi , Konkoni, nkane na mauya .

Gift Fred ni beki haifai kuachwa , siku bacca akiwa na kadi na mwamnyeto majeruhi Nani atacheza na job centre ?
 
Musonda nae ameshindwa kubadilika
Hatujaona makali yake
Musonda ana weakness moja tu kwenye driblling, lakini Yuko vizuri tu hasa kwenye vichwa na shooting.

Tatizo mashabiki wengi wa bongo akili ndogo.

Hata kina Shalulile na Mayele timu zao kila siku zinapata draw ya zero zero.
 
Musonda ana weakness moja. Akijua ku-driblle atakuwa hakamatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…