Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

[emoji106]
Wapo wengine walikamatwa kabla yake na wengine baada yake.

Udini wake unakuja baada ya yeye kuzuia kesi zisiendelee mahakamani.

Kabla yake kesi zilikua zipo mwishoni na ilikua inasubiri hukumu.

Pia tangu aingie madarakani masheikh wengi wanakamatwa kimya kimya bila kufunguliwa kesi huyu mtu katili sana
 
Nina taka mimi hapa utoe ushahidi wa hicho unachoseme na si porojo poroja na hisia zako binafsi, hao viongozi kuenda chato sio ushahidi wa kuwa eti ndio walikwenda kuleka hilo ombi...
Mkuu masheikh waliopo jela wanafamilia na ndugu zao.

Kabla ya wao kwenda kupiga magoti kwa mfalme wa Chato viongozi hao walikutana na baadhi ya jamaa wa Wahanga hao Msikiti wa kikwajuni akiwemo Mufti na wakaambiwa swala hilo sio la Simu nendeni mkaongee nae uso kwa uso maana jamii ya Wazanzibari haina raha.

Tena sio waachiwe Bali kesi zao zirudi mahakamani kama kitambo
 
Waislam wenzao kikwete na shein ndo wamewaweka ndani.
Na ijumaa wanakwenda kuswali[emoji19][emoji19][emoji19]
Of course walikamatwa na shein kule zanzibar sio kikwete lakini kesi zao zilikua zinaendelea mahakamani.

Hata kwa sasa hatusemi waachiwe tunasema kwa nini hataki kesi zao ziendelee mahakamani?

Pia Kumbuka mashekh wanaoozea jela sio wa uamsho tu bali kuna masheikh wengi wapo karibu kila Mkoa bila kesi waliokamatwa wakati wake.

Huyu kafiri ni mdini na katili sana
 
Mkuu baadhi ya hawa masheikh walikamatwa na SMZ kabla ya yeye kua Rais lakini walikua wanapelekwa mahakamani kujibu kesi zao na ilikua wapo katika hatua za mwisho kufikia uamuzi....
Daah haki ya Mungu watanzania tunamatatizo sana.

Huko juu kinacho lalamikiwa ni kwakwamba mashekhe wamekamatwa na kuweka mahabusu bila kufunguliwa mashitaka.
Sasa wewe hapa unasema kuwa eti kabla ya Magu kuingia madaraka kesi ilikuwa inasikilizwa na ilikuwa inakaribia hukumu kutolewa dooh ajabu sana.

Eti Magu alipo ingia madarakani akaamrisha kesi isitishwe kwasababu ya chuki kwa waislamu doo!!! Una ushahidi na hiki unacho kisema hapa mkuu?

Usipo toa ushahidi wa hili basi wewe ndio mwenye chuki na Magu na singinevyo!.

Eti waislamu wanakamatwa ovyo kila kukicha!! Sikia mkuu achana propaganda zisizo na mashiko.
 
Daah haki ya Mungu watanzania tunamatatizo sana.
Huko juu kinacho lalamikiwa ni kwakwamba mashekhe wamekamatwa na kuweka mahabusu bila kufunguliwa mashitaka...
Mkuu sio rahisi kuamini lakini ni kweli.

Ebu jaribu kufuatilia ni lini mara yao ya mwisho kufikishwa mahakamani.

Na ni kweli mimi namchukia sana huyu kafiri jinsi anavyotesa waislamu kwa sababu tu ya imani yao.

Mkuu dini ya kiislamu na ya kikristo zimeletwa. Na wazungu na waarabu wala sio kigezo Cha kupenda au kuchukia mtu ila huyu kafiri anatesa sana waislamu na hawezi kumaliza waislamu
 
Huu ndio ushahidi nilio kuuliza au??

Nani kakataa kuwa hao mashekhe hawana familia??

Rudi hapo juu kisha ujibu nilicho kuuliza usiniletee hadithi zako hapa mimi, unataka kutuaminisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo.
 
Dah basi hapo kutoka NI ngumu.
Maana huyu anaitwa John
Huyu ndugu yetu hapa anasema kesi yao ilikuwa inasikilizwa ila Magu ndio kaja kuizuia ili mashekhe waozee mahabusu kisa yeye ana chuki na waislam.
 
Hapa sasa nimeelewa wewe kinacho kusumbua ni hili tatizo la udini ulilo nalo na chuki kubwa iliyo sababishwa na namna mbayo ulivyo yapokea mafundisho ya dini yako, watu Kama nyinyi ndio mnao uchafua uislam kwasababu ya mawazo yenu ya namna hii.
 
Huu ndio ushahidi nilio kuuliza au??

Nani kakataa kuwa hao mashekhe hawana familia??

Rudi happy juu kisha ujibu nilicho kuuliza usiniletee hadithi zako hapa mimi, unataka kutuaminisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo.
Kwa hio wewe unataka video ya mazungumzo yao?

Mimi nakwambia tulikua masikini na Mufti wa zanzibar akasema swala hili sio la Simu itabidi watoke viongozi wetu mguu Mosi mguu pili mpaka kwa muheshimiwa kule alipo na wamwambie wazanzibari hatuna raha kwa mambo yalivyo maana hao mashekh wanateswa sana huko mahabusu angalau kesi zao zirudishwe mahakamani.

Zanzibar Mufti sio mtu mdogo na akifikia kusema itabidi waende wote wawili na kweli wakaenda halafu wewe bado unataka ushahidi Yaani mazunfumzo yaonyeshwe live TBC??!! utasuburi sana
 
Bora wahukumiwe tujue moja.

walikuwa wanataka Zanzibar HURU.hapo ndipo KAZI ilipoanzia
Of course walikamatwa na shein kule zanzibar sio kikwete lakini kesi zao zilikua zinaendelea mahakamani...
 
Kesi ya ugaidi haina dhamana wala muda gani inasikilizwa kesi za magaidi waliopelekwa gwantanamo nyingi hadi wengine walifia magerezani!!!

Hao mashehe kesi yao ugaidi sio ushehe!!! hakuna mtu yeyote mwenye kesi ya ushehe popote Tanzania!!!
Wamefanya ugaidi gani?

Hakuna mtu anasema wapewe dhamana au waachiwe wanasema wapelekwe mahakamani na ushahidi uelewe wahukumiwe sio kwa sababu mtu fulani anachuki na waislamu basi wafie mahabusu
 
Wamefanya ugaidi gani
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini

Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
 
sasa kwanini kesi zao hazisikilizwi tujue ukweli?
 
Hapa sasa nimeelewa wewe kinacho kusumbua ni hili tatizo la udini ulilo nalo na chuki kubwa iliyo sababishwa na namna mbayo ulivyo yapokea mafundisho ya dini yako, watu Kama nyinyi ndio mnao uchafua uislam kwasababu ya mawazo yenu ya namna hii.
Mkuu kuna watu wanaoozea jela za Tanzania kwa sababu ni waislamu.

Mkuu kuna masheikh wanafia jela bila kosa lolote.

Huwezi kua na hisia zozote maana hao huko hawakuhusu ila ingekua unandugu anateswa na ameacha watoto wadogo lazima Ungepata hisia fulani
 
Wamefanya ugaidi gani?
Hakuna mtu anasema wapewe dhamana au waachiwe wanasema wapelekwe mahakamani na ushahidi uelewe wahukumiwe sio kwa sababu mtu fulani anachuki na waislamu basi wafie mahabusu
Mbona waislamu wenzao waliowashika Akina Shein Mbona waliwashilia hadi kumaliza utawala wao? Kikwete muislamu mwenzao aliwaacha hivyo hivyo mbona hakuwapandisha mahakamani kesi zianze?

kesi zao walidakwa na maraisi waislamu wenzao kuwa ni migaidi
 
Kwa hio wewe unataka video ya mazungumzo yao?...
Namimi nakwambia hivi hao viongozi kuenda chato wewe unapata uhakika upi kuwa ndio walikwenda kuomba kuhusu mashekhe??

Au unataka tuamini kwasababu wewe umesema na mlikaa kikao msikitini??

Walipo kataliwa walirudi tena huko msikitini kupitia kwa mufti kuwapa habari kuwa wamekataliwa?
 
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar...
Hizo zinaitwa tuhuma kiutaalamu.

Kama wao ni wahusika wa hayo mambo kulikoni wanashindwa kuwapeleka mahakamani na kutoa ushahidii?

Lakini kushika maimamu eti kuna padre kafia zanzibar huo ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…