Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Wapo wengine walikamatwa kabla yake na wengine baada yake.[emoji106]
Udini wake unakuja baada ya yeye kuzuia kesi zisiendelee mahakamani.
Kabla yake kesi zilikua zipo mwishoni na ilikua inasubiri hukumu.
Pia tangu aingie madarakani masheikh wengi wanakamatwa kimya kimya bila kufunguliwa kesi huyu mtu katili sana