Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Hizo zinaitwa tuhuma kiutaalamu
Kama wao ni wahusika wa hayo mambo kulikoni wanashindwa kuwapeleka mahakamani na kutoa ushahidii????
Lakini kushika maimamu eti kuna padre kafia zanzibar huo ni upuuzi
Padri mwingine huyo aliyenusurika kifo kuuawa na hao Mashehe.

Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na shabulio la risasi dhidi ya Padri Ambros Mkenda (52) mwishoni mwa wiki iliyopita.

Afisa habari mkuu wa jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Muhina amesema watuhumiwa hao wamekamatwa usiku wa kuamkia leo kwa ushirikiano wa Makachero wa Zanzibar na wenzao kutoka PHQ DSM bila ya kuwataja majina kwa kuhofia kuingilia upelelezi wa kuwapata wengine.

Watuhumiwa hao wanaendelea kuhojiwa ili kuwapata washiriki wote katika njama za kumvamia na kumshabulia kwa risasi Paroko wa Parokia ya Mpendae mjini Zanzibar.

Amesema bado makachero hao wa polizi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, jana akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Naibu DCI Zanzibar ACP Yusuf Ilembo amesema polisi watahakikisha wale wote waliohusika katika shambulizi hilo wanatiwa nguvuni na kukabili mkono wa Sheria.
 
Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
Kwa hio kwa sababu mimi ni muislamu kesho RPC kwa chuki Zake akinisHutumu kwa ugaidi maana yake nifie jela?

Baada ya uchaguzi mbowe alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi mbona hajafia jela?

Kwa nini haya mambo yapo kwenye awamu hii tu!!

Sio uamsho pekee hata masheikh wengine kila kukicha wanakamatwa.

Mbeya. Arusha. Tanga. Mwanza nk kuna ugaidi gani?

Hii ni chuki ya mtu fulani katika dini fulani hakua ugaidi wala nini?
 
Mkuu kuna watu wanaoozea jela za Tanzania kwa sababu ni waislamu
Mkuu kuna masheikh wanafia jela bila kosa lolote
Huwezi kua na hisia zozote maana hao huko hawakuhusu ila ingekua unandugu anateswa na ameacha watoto wadogo lazima Ungepata hisia fulani
Mkuu huko mahabusu kuna hao mashekhe peke yao wanao uzea jela bila kesi zao kufunguliwa mashitaka?? Mbona huna ubinadamu kwa wengine Kama unavyo jinadi badala yake unazungumza mashekhe tu??

Ulisema Magu ndio alikuja kufuta kesi zao kwamba mwanzo walisha funguliwa mashitaka, haya tuambie walifunguliwa shitaka gani ambalo Magu alikuja kulifuta na kuwarudisha lumande.
 
Hii chai
Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
 
Padri mwingine huyo aliyenusurika kifo kuuawa na hao Mashehe....
Hakuna mtu anasema hakuna uhalifu.

Uhalifu upo na itaendelea kuwepo na watu wanatakiwa wafunguliwe mashaka mahakamani sio tuhuma tu.

Sasa basi mahakama zifutwe
 
Hakuna mtu anasema hakuna uhalifu
Uhalifu upo na itaendelea kuwepo na watu wanatakiwa wafunguliwe mashaka mahakamani sio tuhuma tu
Sasa basi mahakama zifutwe
Lingine hilo

KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR

Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana

Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120. Picha/ZanzibarYetu
 
Mkuu huko mahabusu kuna hao mashekhe peke yao wanao uzea jela bila kesi zao kufunguliwa mashitaka?? Mbona huna ubinadamu kwa wengine Kama unavyo jinadi badala yake unazungumza mashekhe tu??

Ulisema Magu ndio alikuja kufuta kesi zao kwamba mwanzo walisha funguliwa mashitaka, haya tuambie walifunguliwa shitaka gani ambalo Magu alikuja kulifuta na kuwarudisha lumande.
Jela wapo watu wengi tu wamefungwa kwa dhulma
Hao masheikh wanateseka Kwa sababu ya dini yao ni tofauti na huyu kafiri
 
Lingine hilo

KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR

Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana

Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120. Picha/ZanzibarYetu
Hizo ni tuhuma nyingi ni propaganda mimi nipo uguja na hakuna kanisa limechomwa
Wewe umepata Habari kwenye TV gani
 
Hv ww mwendawazimu watu wangap wamehukumuwa kwa kesi za mauaji mbna wao hawahukumiw???
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini

Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
 
Hzo chuki zenu mtakufa midomo ikiwa wazi,kilichowaponza ni kutaka.ZNZ iliyo huru kitu ambacho chama chakavu kwa usia wa muasisi wao ni uhaini

Mzee unamwomba Mwinyi au 'mungu' yule umemalizia kwa kumuomba?
 
Kwel we ni zumbukuku,hv unadhan unaweza kudanganya watu ambao hawajafungiwa akili zao kabatini kama ww????
Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
 
Jela wapo watu wengi tu wamefungwa kwa dhulma
Hao masheikh wanateseka Kwa sababu ya dini yao ni tofauti na huyu kafiri
Duuh, samahani mkuu nisamehe bure tu sikujua kama najadili na mtu wa namna gani.
 
Hzo chuki zenu mtakufa midomo ikiwa wazi,kilichowaponza ni kutaka.ZNZ iliyo huru kitu ambacho chama chakavu kwa usia wa muasisi wao ni uhaini

Watuhumiwa wa ugaidi wakamatwa

Kasisi aliyeshambuliwa kwa tindikali Zanzibar aendelea kupokea matibabu

Kasisi aliyeshambuliwa kwa tindikali Zanzibar akiendelea kupokea matibabu
Polisi visiwani Zanzibar, wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuhusika na mashambulizi ya tindikali visiwani humo.
Mkuu wa polisi nchini humo, Mussa Ali Mussa, alidai kuwa baadhi ya washukiwa wana uhusiano na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia.

Wiki jana kasisi wa kanisa katoliki alishambuliwa kwa kumwagiwa tindi kali katika mji wa kale.
Shambulizi hilo linakuja baada ya wasichana wawili wa uingereza kushambuliwa mwezi jana.
Kirstie Trup na Katie Gee, wote wenye umri wa miaka 18, walimwagiwa tindi kali wakiwa wanatembea mjini humo.
Maafisa nchini Zanzibari, wametangaza kumzawadi mtu atayetoa taarifa kuhusu shambulizi hilo.
Katika shambulizi lililofanyika siku ya Ijumaa, kasisi Joseph Anselmo Mwangamba alimwagiwa tindi kali alipokuwa anaondoka kwenye duka la huduma za internet katika mji wa kale.
Shambulizi hilo ni la tano la aina yake visiwani humo tangu Novemba mwaka jana.

Bwana Mussa alisema kuwa polisi walinasa mitungi iliyokuwa na lita 29 za Tindi kali wakati wa msako wao.
Kwa mujibu wa polisi, washukiwa walikamatwa wakiwa katika harakati za kujiandaa kwa mapigano kwengineko nje ya Tanzania.

Hadi sasa polisi wanakamilisha uchunguzi wao kabla ya kuwafungulia mashtaka washukiwa watatu waliowashambulia wasichana wawili raia wa Uingereza.
Hata hivyo haijulikani ikiwa washukiwa hao 15 waliokamatwa wamehusishwa na shambulizi walilofanyiwa wasichana hao wawili au ikiwa ni wao waliomshambulia kasisi Mwangamba.

Visiwa vya Zanzibar hupokea watalii wengi na wenyeji wansema kuwa mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni sio jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom