Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzaosasa kwanini kesi zao hazisikilizwi tujue ukweli?
Kasema anahitaji muda kufikiriaNamimi nakwambia hivi hao viongozi kuenda chato wewe unapata uhakika upi kuwa ndio walikwenda kuomba kuhusu mashekhe?
Padri mwingine huyo aliyenusurika kifo kuuawa na hao Mashehe.Hizo zinaitwa tuhuma kiutaalamu
Kama wao ni wahusika wa hayo mambo kulikoni wanashindwa kuwapeleka mahakamani na kutoa ushahidii????
Lakini kushika maimamu eti kuna padre kafia zanzibar huo ni upuuzi
Kwa hio kwa sababu mimi ni muislamu kesho RPC kwa chuki Zake akinisHutumu kwa ugaidi maana yake nifie jela?Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
Mkuu huko mahabusu kuna hao mashekhe peke yao wanao uzea jela bila kesi zao kufunguliwa mashitaka?? Mbona huna ubinadamu kwa wengine Kama unavyo jinadi badala yake unazungumza mashekhe tu??Mkuu kuna watu wanaoozea jela za Tanzania kwa sababu ni waislamu
Mkuu kuna masheikh wanafia jela bila kosa lolote
Huwezi kua na hisia zozote maana hao huko hawakuhusu ila ingekua unandugu anateswa na ameacha watoto wadogo lazima Ungepata hisia fulani
Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
Hakuna mtu anasema hakuna uhalifu.Padri mwingine huyo aliyenusurika kifo kuuawa na hao Mashehe....
Dooh 🤣🤣 we jamaa kumbe ni comedian kiasi hiki aisee!!Kasema anahitaji muda kufikiria
Lingine hiloHakuna mtu anasema hakuna uhalifu
Uhalifu upo na itaendelea kuwepo na watu wanatakiwa wafunguliwe mashaka mahakamani sio tuhuma tu
Sasa basi mahakama zifutwe
Jela wapo watu wengi tu wamefungwa kwa dhulmaMkuu huko mahabusu kuna hao mashekhe peke yao wanao uzea jela bila kesi zao kufunguliwa mashitaka?? Mbona huna ubinadamu kwa wengine Kama unavyo jinadi badala yake unazungumza mashekhe tu??
Ulisema Magu ndio alikuja kufuta kesi zao kwamba mwanzo walisha funguliwa mashitaka, haya tuambie walifunguliwa shitaka gani ambalo Magu alikuja kulifuta na kuwarudisha lumande.
Hizo ni tuhuma nyingi ni propaganda mimi nipo uguja na hakuna kanisa limechomwaLingine hilo
KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120. Picha/ZanzibarYetu
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini
Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Lazima uone ni maigizo maana huna uchungu wowoteDooh 🤣🤣 we jamaa kumbe ni comedian kiasi hiki aisee!!
Walikuwa wakichoma makanisa hao na kuua viongozi wa Kikristo wakiwemo mapadri Zanzibar
watalii walikuwa wakimwagiwa tindikali nao hadi wazungu wakagoma kutokanyaga zanzibar hadi hao wakamatwe baada ya vyombo vya kijasusi ya kimataifa kuwabaini
Kweli baada ya kuwakamata Zanzibar ni shwari hadi leo Hakuna ugaidi tena
Kesi ya ugaidi ukidakwa utafia ndani kesi iwe Tanzania au nje sababu kuna washirika wao walitoroka nchi siku wakipatikana kesi zitaanza.Upelelezi bado unaendelea mataifa mbalimbali duniani kuwapata washirika wenzao
Duuh, samahani mkuu nisamehe bure tu sikujua kama najadili na mtu wa namna gani.Jela wapo watu wengi tu wamefungwa kwa dhulma
Hao masheikh wanateseka Kwa sababu ya dini yao ni tofauti na huyu kafiri
Hzo chuki zenu mtakufa midomo ikiwa wazi,kilichowaponza ni kutaka.ZNZ iliyo huru kitu ambacho chama chakavu kwa usia wa muasisi wao ni uhaini