Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Hizo ni tuhuma nyingi ni propaganda mimi nipo uguja na hakuna kanisa limechomwa
Wewe umepata Habari kwenye TV gani
Nenda pale Kariaokoo sokoni zanzibar jirani tu hapo kuna kanisa la Tanzania Assemblies of God nenda kaulize hata wenyeji kama liliwahi kuchomwa na magaidi kuanzia jengo hadi magati yao au la?
 
Jibu swali watu wangapi wamefanya mauaji na wamehukumiwa????kinachowaponza kila mwenye akili timamu anakijua yote jwa yote hakuna atakaeishi milele hata ajitie mwamba ipo cku atasimama mbele ya Allah,haijalishi alikuwa nan????
 
Haya mambo yametokea jana?
 
Jibu swali watu wangapi wamefanya mauaji na wamehukumiwa????kinachowaponza kila mwenye akili timamu anakijua yote jwa yote hakuna atakaeishi milele hata ajitie mwamba ipo cku atasimama mbele ya Allah,haijalishi alikuwa nan????
kwa taarifa yako hiyo migaidi iko ndani chini ya uongozi wa maraisi watatu hadi sasa iliwekwa ndani mara ya kwanza na Muislamu mwenzao Shein ikakaa ndani weeee baadaye ikakabidhiwa kwa Kikwete Raisi mwenzao mwislamu mwenzao akaiacha ndani wee hadi anaondoka sasa iko chini ya magufuli kaiacha ndani kapokea kijiti akiondoka nakuja mimi itanikoma
 
wavunja amani unawaita mashekhe ?
Kama wamevunja amani wapekeke mahakamani na lete ushahidi sio eti kwa sababu wao ni waislamu na kiongozi ni kafiri basi wamevunja amani
Lete ushahidi mahakaman mbele ya hakimu sio bla bla tu
 
Wale marais wengine kesi zao zilikua zipo mahakamani
Na wewe kufurahia eti kwa sababu wanaoteswa ni waislamu wala haikuzidishii kitu
Chuki mwisho wake upo
Huyu kafiri mwisho wakr upo
Hao masheikh mwisho wao pia upo
Na wewe furaha yako kuona wanateswa pia inamwisho wake
 
Kama wamevunja amani wapekeke mahakamani na lete ushahidi sio eti kwa sababu wao ni waislamu na kiongozi ni kafiri basi wamevunja amani
Lete ushahidi mahakaman mbele ya hakimu sio bla bla tu
subiri nawe tukuweke gerezani
 
Nenda pale Kariaokoo sokoni zanzibar jirani tu hapo kuna kanisa la Tanzania Assemblies of God nenda kaulize hata wenyeji kama liliwahi kuchomwa na magaidi kuanzia jengo hadi magati yao au la?
Kariakoo sokoni Zanzibar ndio wapi hapo?
 
Nao wai furaha yao ya kumwagia tindikali watu na kufurahia makanisa kuchomwa na kuuawa viongozi wa kikiristo imejatishwa kwa wao kuwa ndani haeana tena cha kuchekelea kuona wakristo wanateseka!!! Kicheko chao kimegeuka kilio wengine hadi wake zao wamewakimbia na kuolewa kwingine kwa kukosa matunzo!!
 
48 nipo hapa sasa Hivi nauliza kuna kanisa lolote limechomwa Jana watu wananishangaa!!
Nenda Mwabakwerekwe ukifika pale soko la nwanakwerekwe uliza Kanisa la Tanzania Assemblies of God lililpo sio mbali .Kaulize kama lilishawahi lipuliwa na magaidi kwa kuchoma kanisa na magari ya kanisa au la
 
Ndio umekusudia Mwanakwerekwe!?

Mwaka gani?
 
Nenda Mwabakwerekwe ukifika pale soko la nwanakwerekwe uliza Kanisa la Tanzania Assemblies of God lililpo sio mbali .Kaulize kama lilishawahi lipuliwa na magaidi kwa kuchoma kanisa na magari ya kanisa au la
Nenda Songwe Tunduma uliza Msikiti wa kusimani je ulishawahi kushambuliwa na imamu wake kujeruhuwa vibaya?
Halafu uliza nini kilitokea baada yake
 
Kama ni kweli sawa lakini kama ni visingizio hamna shida
Wafuasi wa dini wameteswa milele hata farao alikua kama jiwe
Hata wafuasi wa Issa waliteswa kwa kusingiziwa hata Yusuf alikaa jela kwa kusingiziwa kwa hio hilo sio jambo geni kwa watu wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…