Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Nakuombea uwe rais ajae utunyoshee izi gaidi
 
Ni magaidi kweli na nyie mnaowatetea wangekata vichwa vyenu. Ukiona muislamu kaambiwa gaidi huwa kuna ukweli kwa asilimia kubwa maana mbona baadhi hawaambiwi magaidi?
 
Mkuu, vijana wa leo ni wapumbavu kwel kwel hiki kizazi sijui itakuaje, hakitumii akili kabisa kuchakata mambo... inatisha
 
Waliswekwa ndani awamu ipi hao mashehe?
 
Acha wakamatwe tu maana mmezidi sana yani Msikitini mnafundisha watoto kupigana sasa hapo mnawajengea nini na mnawalisha vitu vya kijinga.
 
Uharifu gani mpaka leo hakuna kesi mahakamani? ingekuwa baba ako yupo ndani mpk leo bila kufungwa wala kufikishwa mahakani ungejisikiaje mpuuzi wewe? mimi siyo muislam lakini nachukia sn waislam kuonewa
Sabab akili huna.
 
Kushikiliwa ni huruma Sana. Nikikumbuka namna hao mashehe na wapuuzi wengine Kama marehemu ustaadh Ilunga walivyo kuwa wakihubiri chuki dhidi ya wakristo na Ukristo hadharani, kuwa wachungaji wauawe na kweli wakauawa, makanisa yakachomwa nk naona kuwaweka ndani haitoshi.

Walipaswa kuteswa Sana Hadi wafe!
Swine!!!!
 
Ni magaidi kweli na nyie mnaowatetea wangekata vichwa vyenu. Ukiona muislamu kaambiwa gaidi huwa kuna ukweli kwa asilimia kubwa maana mbona baadhi hawaambiwi magaidi?
Tatizo ni moja tu kwamba siku hizi ugaidi umenasibishwa na uislamu kwamba ili mtu aitwe gaidi sharti awe muislamu,yani mtu hata afanyaje lakini ukisikia anaitwa gaidi halafu si muislamu lazima utaona ni kinyume tushazoea kwamba ili mtu aitwe gaidi lazima awe muislamu,tukisikia tu watu wamevamia sehemu na kuuwa watu halafu tukajua ni waislamu basi akili zetu moja kwa moja zinatupeleka kwenye ugaidi ila tukijua si waislamu akili zetu hazitupeleki kwenye ugaidi maana ni kama tumelipa maana mpya neno "ugaidi" kuwa ni uhalifu unaofanywa na waislamu tu kwa ajili ya dini yao.
 
Ingawa watu wanalalamika hapa ila wajiulize tu swali moja dogo;

Baada ya hawa jamaa kukamatwa mbona hatusikii tena habari za kuchoma makanisa.
 
Acha wakamatwe tu maana mmezidi sana yani Msikitini mnafundisha watoto kupigana sasa hapo mnawajengea nini na mnawalisha vitu vya kijinga.
Kwani mafunzo ya kupigana ni tatizo mkuu au tatizo ni kufanyiwa msikitini?
 
Kwani Jiwe ndo aliwapeleka Jela? Au aliyewapeleka alikuwa Mkristo? Mbona unazusha???
 
2013 walijichanganya wakamwagia mabeberu tindikali, ngoja wakome tena hiyo adhabu ni ndogo, Halafu kwanini lawama apewe Magufuli wakati walikamatwa kipindi waislam wanatawala serikali zote?
 
Ingawa watu wanalalamika hapa ila wajiulize tu swali moja dogo;

Baada ya hawa jamaa kukamatwa mbona hatusikii tena habari za kuchoma makanisa.
Hilo ndio linatakiwa lifanyiwe uchunguzi,kwa sababu inawezekana kuna watu walitumia mgongo wa hao masheikh wa uamsho kufanya hayo matukio sasa hao masheikh walivyokamatwa nao wakaacha kufanya hayo matukio,au pia ni kweli hao masheikh ndio wahusika yote yanawezekana ndio maana watu wanataka wapelekwe mahakamani ili ijulikane.
 
Islamic ni dini kubwa, haiwezekani kikundi kidogo cha wahuni wanajificha kwenye kivuli cha ushee, waipake matope. Walikuwa wanakosea sana na kuihujumu dini ya kiislam.
Na asilimia kubwa ni wao ndio walikuwa wanafanya hayo matukio maana kuna wengine walikamatwa na madumu ya tindikali. Na toka wakamatwe story za tindikali na makanisa kuchomwa ndio ukawa mwisho wake, now ni miaka zaidi ya 8 imepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…