Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
Hakuna Rais anayeongoza kwa mkono wa chuma na kuua watu akabaki salama nyie machawa wauaji ndo mnazidisha spidi anguko na kifo cha Samia na serikali yake.Hasafishiki
 
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
Huu ni ushahidi kuwa Samia hana lolote, yeye anapaswa aaige tu ya Magufuli ili apande viwango. Na kilichomponza juzi ni kuiga tembo kunya, matokeo yake kapasuka msamba.
 
Back
Top Bottom