Ombi kwa Utumishi: Mwenzi huu tunaingia mwezi mtukufu wa mfungo

Trh tano Kanisa katoliki linaanza rasmi kwaresma...... napo ni mfungo tuu..... Mambo ni bam bam......

Maovu yapungue kwa muda sasa
Mkuu dini sio ushindani mimi hapa naongelea mfungo ttakatifu wa mwezi wa Ramadhani una masharti yake wewe unakuja na mfungo mwingine tena vip?
 
Funga ya kinafki hiyo, wakristo hufunga siku 40 walishatoaga masharti? Huo uzombie mkafanyie Zenji huku kwetu huwa tunakula popote
 
Nonsense
 
Mkuu heshima ni hiari ili tuweze kuishi kwa amani na utulivu
 
Mkuu dini sio ushindani mimi hapa naongelea mfungo ttakatifu wa mwezi wa Ramadhani una masharti yake wewe unakuja na mfungo mwingine tena vip?
Ooh sijasema kwa ubaya ndugu yangu! Nimeona watu wanakushambulia ikabidi ni balance mizani

Illa naheshimu funga ya Ramadhani hasa kipindi Cha mfungo mtukufu ni wakati wa kufanya Toba na kufuata Yale Allah ameelekeza yafanyike,

Insha'Allah funga ikawe ya khery kwetu sote, Amiin
 
Acha vitisho, amani inavunjikaje hapo, hizi dini za kusilimisha kwa jambia ndio shida yake
Mkuu acha fujo na vurugu, unacho sema ni uchochozi tu heshimu dini ya watu ili wawezi kuheshimu ya kwako pia.
 
No 4 ni batiri, kwani mwezi mtukufu ni kwa wote? Hata hao waislamu hawatafunga wote.

Yaan watu washindwe kula, kisa wengine wamefunga? Au unadhani kila mtu ni mfuasi wa dini hizo?
 
Mkuu dini sio ushindani mimi hapa naongelea mfungo ttakatifu wa mwezi wa Ramadhani una masharti yake wewe unakuja na mfungo mwingine tena vip?
Hakuna mfungo takatifu, huo ni ubinafsi mfungo ni mfungo. We inaonekana mzenji wenye mapinduzi matukufu.
 
Mnafunga halafu mnaplan budget ya chakula[emoji849]
Mkuu utaishi bila kula kweli, kufunga sio adhabu ni ibaada, tena nguzo ya nne ya uislamu.
 
Basi mjifungie ndani msitoke nje. Mfunge, mfungue na kuswali humo humo ndani.
Kwanini nyie funga yenu ndo unataka iwe special kuliko zingine. Acha ubinafsi mkuu. Kwa roho uliyonayo hata Allah asikilizi sala zako, unaonekana mtu wa ajabu ajabu
 
Mkuu speciality iko wapi tunaomba ushirikiano wa wengine sio kulazimisha, pia kumbuka mfungo hauzie mtu kufanya kazi zake za kumiingiliza kipato cha kila siku, hayuwezi kujifungia ndani kwabb sie ni sehemu ya jamii hi.
 
Ushirikiano wa nini wakati funga inakuhusu wewe mwenyewe? Wewe ulishawahi kuombwa ushirikiano na yupi aliyefunga? Au unadhani wengine huwa hawafungi?
 
Chuki zimekutawala ila huna la kufanya huo ni mwezi mtukufu unaheshimika dunia nzima hata uko ulaya kuna kua na mabadiliko katika mfumo mzima.
Ni kwa vile tu ulaya na America ni jamii ya watu waliostarabika , nakuheshimu haki za wengine, hakuna kingine zaidi ya hicho.
 
Ushirikiano wa nini wakati funga inakuhusu wewe mwenyewe? Wewe ulishawahi kuombwa ushirikiano na yupi aliyefunga? Au unadhani wengine huwa hawafungi?
Kwenu jirani yako akiwa na sherehe au msiba hutowi ushirkiano kwasbb sherehe inamhusu yeye tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…