Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

Na endapo ikafikia hatua hiyo ya kupata madaraka na kuwa na uwezo wa kukata masikio basi kila mwana ccm aliyafanya unyama atakiona kilichomfanya kuku asikojoe na yuwanywa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app

Wawili watatu wa demo haitakuwa mbaya sana
 
View attachment 2025853

Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Safi sana ,majizi chadema wawaache wananchi wafanye kazi.

Hata hivyo wanaendelea na mikusanyiko ya chadema digital
 
Tishio la ugaidi ni kwa chadema peke yake🐒🐒🐒
0ON.jpg

oR9.jpg
1L0.jpg

rAU.jpg
 
Hiyo barua ya Polisi isambazwe Duniani nzima ili Samia popote atakapoenda aulizwe kuthibitidha kuwa Tanzania siyo mahali salama kwa sababu ya tishio la ugaidi.
 
View attachment 2025853

Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Ipelekeni barua hiyo kwenye mashirika makubwa ya habari nje ya nchi kuthibitisha Tanzania si nchi salama kwa sasa.
Pia mpelekeeni Tundu Lissu na wanachadema walio nje ya nchi waujulishe ulimwengu kuhusu tangazo hili la serikali kupitia jeshi la polisi kuwa kina ugaidi nchini.
 
Back
Top Bottom