johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawafanyi mikutano!Kwahiyo ulegelege W upinzani nikwamba hawafanyi vita au kwasababu hawapambani na ccm bali wanapambana na vyombo vya do lá?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Na endapo ikafikia hatua hiyo ya kupata madaraka na kuwa na uwezo wa kukata masikio basi kila mwana ccm aliyafanya unyama atakiona kilichomfanya kuku asikojoe na yuwanywa.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Safi sana ,majizi chadema wawaache wananchi wafanye kazi.View attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Kuna vitu serikali huwa inafanya pasipo kufikiria...
Hiyo barua kama ni rasmi inaweza hata ikatumika kama kielelezo kwenye mashirika makubwa ya habari duniani kuonesha kuwa eneo tajwa lipo kwenye tishio la ugaidi...
ndio maana mimi nilisha conclude serikali imejaa mabogus wengi sana,hawana muda huo unaotaka wewe
Makundi gani?Wapinzani wenyewe hawasomeki , ndo chanzo kikubwa cha kuchochea makundi ,pambaneni na Hali zenu
Hawafanyi au hawo mbwa wanaojibanza kwemye kichaka chá uvaaji wa sare za policcm kwa kuwalinda ccm wanapiga marufuku na kukata watu.Hawafanyi mikutano!
unaumwa akili wewe,nenda mirembeRed arrows 2-0 simba
Tishio la ugaidi ni kwa chadema peke yake🐒🐒🐒
View attachment 2025882View attachment 2025883
View attachment 2025884
Ipelekeni barua hiyo kwenye mashirika makubwa ya habari nje ya nchi kuthibitisha Tanzania si nchi salama kwa sasa.View attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
polisi muogopeni MUNGU kusemama uongo,View attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Cc@johnthebaptistKuna Jamaa mmoja humu JF (johnthebaptist) alimshutumu JJ Mnyika kukaa ofisini huku Chongolo akichanja mbuga kuimarisha chama. Atakuwa amepata majibu.
Viongozi na wafuasi wa CCM wanapostahili ni motoni tu.Akina nani awabariki,, wengine hawastaili kubarikiwa??
Kisasi tunamuachia Mungu,kama alivyokwisha kutulipia kisasi kwa kulifyekelea mbali lile kubwa la maadui .Na wote wanaotuonea njia yao itakuwa hiyo hiyo.Dah! pole sana CHADEMA ipo siku mtatamba na nyie sema msijelipa kisasi
Bong'oa uone utakavyoletewa mota wa hatariUpinzani ni lege lege!