Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

Makala01

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
22
Reaction score
29
Bwana YESU asifiwe wote humu'

Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.

Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.

Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.

Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
 
KUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
Ile mikelele ndio inaitwa mixer njia 6? Sio mchezo ile mikelele kiboko tena ukikutana nayo eneo kuna makanisa 3/4 yanafanya mashindano utaelewa somo yaan utaelewa huku umepigwa huku umepigwa hujakaa vizuri huku umepigwa neno
 
Bwana YESU asifiwe wote humu'

Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.

Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.

Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.

Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
Unaanzisha dhehebu lako jipya au unaendelea kumtumikia huyo Mungu wako kwenye dhehebu lako la siku zote?

Ukinijibu hili nitakuja na msaada.
 
KUna kanisa nimefungua mimi mwenyew bado changa kwa iyo nahitaji vyombo kwa ajilj ya mikutano ili watu waokoke waje kanisani
umeona wenzako wanafaidi na makanisa yao. Na wewe umeona uanzishe lako.
 
Yesu hawezi kutoa wajibu bila kukupa lasilimali za kutekelezea. Omba sirini upewe hadharani. Usiombeombe mitandaoni unamuabisha Yesu
Kweli lakini fedha za MUNGU zipo mikononi mwa watu wa MUNGU
MUNGU amewekeza kwa watu wake hapa duniani
 
Bwana YESU asifiwe wote humu'

Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke.

Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia.

Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti kwa chochote kwa ajili ya kazi ya MUNGU ili nipate hivo vitu MUNGU akubariki sana.

Kwa mawasiliano, naomba uni-dm inbox
Ubarikiwee
inagharimu sh ngapi?
 
umeona wenzako wanafaidi na makanisa yao. Na wewe umeona uanzishe lako.
Hapana hii ni kwa ajili ya MUNGU
YESU yupo karibu kurudi na watu wengi hawajamrudia so tupaza sauti kuwaambia wamrudie MUNGU waache uovu wasijisahau so watakaosikia na kubadilika bas watakuwa wamepona ambao wtasikia ila wakakaidi siku ya mwisho wasije wakasema hawakuwahi kuhubiria wala kusikia habari za YESU
 
Back
Top Bottom